Hali ya hewa ya Dodoma imenishinda

Tena baridi la dom linakufanya mtu uwe mweusi haswaaaa. Nguo pia zinapaukaaaaa na maji ya chumvi hasa nguo nyeusi
 
Tumia shower gel ndo kiboko ya hali ya hewa ya Dodoma. Mafuta tumia ya mgando au mgando changanya na mafuta ya nazi. Utaenjoyi
 
Aisee mi ni mhanga wa maji moto yaani iwe jua,iwe mvua ni maji moto Tu Dar pekee ndo inaweza tokea kuoga maji baridi ila mikoani nishashindwa kabisa ndo mana sometime naona ngozi yangu inakuwa kavu kumbe maji moto huchangia na siwezi paka cream yangu bila mosturizer natumia sana mafuta ya nazi ila kuna kipindi ngozi inakataa kabisa[emoji22][emoji22]
 
Sasa ww unaapendekeza serikali ijikite tena ujenzi wa makao makuu Singida ?
 
Exactly, ingekuwa rahisi kwa nchi zilizoendelea......kwa sisi pwagu na pwaguzi itachukua karne nzima kupafanya Dodoma pawe na hali ya hewa ya kuridhisha.
Kufanya sehemu kame kama Dodoma iwe sehemu nzuri inahitaji mambo mawili. 1. Maji 2. Commitment ya kupanda miti (bustani, mpangilio mzuri wa mji eg open spaces)
 
we nae hata kama ni uongo sasa umezidisha, stand gani hiyo ya kwenda na mbuzi kwenye gari.....sasa kwa kifua kipana naweza kusema kuna mtu amekuacha kwenye mataa huko ukachukia mkoa mzima..
 
Na Kila anayeiponda Dom aseme anakotoka!! Nimekaa Dom miaka 5 naona pako poa tu.inategemea na life standard zako!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…