Kwani kwenye uislamu hakuna huu ushaitwani!!? Kuna watu wanaua wenzao eti kisa uende peponi kurithi mabikira 72,ni moja ya ujinga wa hizi dini!!
Ndiyo maana wanajazana mno maeneo hayo
Sasa we unajuaje Kama serikali ndio imekataaKwa mkwanja anaoingiza angeweza kuongea na serikali akaboresha tu ili wateja wakae mazingira rafiki
Kumbe mnajua suala la kupaboresha si la mwamposa ni la serikali sasa kwanini mnamkomalia mwamposa hapa badala ya kuiambia serikaliKwa mkwanja anaoingiza angeweza kuongea na serikali akaboresha tu ili wateja wakae mazingira rafiki
Sasa hapa inategemea na masharti ya Baba mwenye nyumbaKwan kuweka mahema kunahitaji pesa kias gan
Kwaiyo awafukuze hela waliokuja nayo toka huko mikoani pengine imeishia pale pengine
hawana hela za kulala gesti kilichowaleta ni matatizo yao wanahitaji huduma sio kwamba wote wanajiweza ki uchumi
Aisee[emoji134]
Acha awakamue Wapumbavu wasiosikia tahadhari ambazo Kutwa huwa tunawapa hapa JamiiForums.Ngoja ni mtag mwanangu GENTAMYCINE
Ila kwa kujazia tu hapo,hapo kwake kuna mental case nyingi sana
Ova