Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Inaweza kwa sababu usalama wa afya ya jamii na mazingira viko katika mamlaka ya serikali.
Serikali haiwezi ingilia hapo..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali haiwezi ingilia hapo..
Hajaamua tu. Kwa alipofika sasa hata akienda mmbade watu watamfuata. Kwa sasa keshavuka kiwango cha kulenga eneo. Sasa hivi linauza jina lake.Hivi unadhani kwa nini pamoja na kukumbwa na mafuriko, watu waliopo kando ya bonde pale Jangwani hawataki kuhama? Sababu ni hiyo hiyo. Mwamposa atacheza Kawe, Mwenge, Makumbusho na maeneo ya karibu na hapo. Kuna suala la wateja na wateja muhimu. Chanika hatapata wateja muhimu
Hostel si hotel. Ila hata akiwajengea mahema ni bora kuliko hali ya sasa.Waumini wake wengi hawewezi kulipia hotel, labda gesti za elfu saba.
Mimi nitakuwa mhasibu wa hili kanisa ikiwa litafunguliwaHivi JF hatuwezi kufungua Kanisa?
Nawasalimu wote kwa jina la Upendo. Amani, baraka na neema za Mwenyezi Mungu ziwe pamoja nanyi.
Kwa wakristu, hongereni kwa kuingia nusu ya pili ya mfungo wenu. Pia, nawatakia ndugu zangu waislam mfungo mwema wa mwezi mtukufu wa Ramadhan, mwenyezi Mungu awakirimie Neema na azipokee sala na funga zenu.
Pasipo kuathiri imani na ibada yao kwa Mungu, nataka nitoe maoni yangu kuhusu uzembe uliopo Tanganyika Packers, kwa waumini wanaosali kwa Mtume Mwamposa.
Binafsi, sina shida yoyote na kusali kwao. Isipokuwa, kumekuwepo na tabia ya watu hawa kulala chini, kwenye uwanja wa wazi usiku kucha wakisubiri huduma hii.
Jumatatu moja Mwaka jana mwezi wa 7 wakati naanza kazi kwenye taasisi moja iliyo karibu na maeneo haya, nilishangaa kuona kusanyiko kubwa la watu waliolala chini ambao kwa hesabu ya haraka hawakuwa pungufu ya 500.
Katika kundi hilo, idadi kubwa ya watu walikuwepo ni wazee, wajawazito na wanawake wenye watoto wachanga sana. Hali hii haikuishia siku hiyo, imekuwepo hadi sasa.
View attachment 2562265Mtu yeyote mwenye akili timamu hahitaji elimu ya sayari ya 5 kuona kuwa mazingira haya ni hatari kwa afya ya wahusika.
Sehemu ndogo ya makundi ya watu waliolala hapo usiku wa kuamkia leo Machi 23, 2023
Kwa kuwa mimi ni mtu mwenye elimu ya fani fulani ya afya, inayohusika na kushughulikia wagonjwa moja kwa moja, huwa nawaza sana kila ninapoona watu hawa asubuhi. Fikiria hali ya sasa ya mvua, kisha mtazame mzee, au mwanamke mjamzito, mama mwenye mtoto mchanga au mgonjwa wa kisukari, presha au kifafa anayelala hapo usiku kucha kwa siku kadhaa akisubiria huduma.
Kibaya zaidi, sehemu za kujisaidia na kupata huduma muhimu za kibinadamu hazitoshi. Mathalani, ukipita hapo asubuhi utakuta watu wanapiga mswaki hadharani na kutema uchafu barabarani, au hata sehemu ileile ambayo huitumia kulala wakati wa usiku.
Baridi kali na vumbi ni chanzo cha magonjwa mengi hasa kwa watoto na wazee. Badala ya kupata huduma za kiroho, watu hawa wanaweza kuondoka hapo wakiwa na mzigo wa magonjwa mengine makubwa zaidi.
Naomba Serikali itazame suala hili kwa umakini. Kama imeshindwa kabisa kuweka utaratibu mzuri wa kumbana Mwamposa kwa kuwa yeye ndiye kiongozi, basi miundombinu ya eneo hili iboreshwe.
Kuacha hali hii iendelee ikiwa hivi itasababisha maafa makubwa. Uponyaji wa kiroho unapaswa kwenda pamoja na uponyaji wa kimwili.
Naomba kutoa hoja!
Ushauri mzuri sana na wenye kujali afya ya jamii. Kama utaweza peleka ujumbe wako serikali za mitaa kuanzia Manispaa ya Kinondoni, Kata na hadi serikali ya mtaa inapofanyika ibada.Nawasalimu wote kwa jina la Upendo. Amani, baraka na neema za Mwenyezi Mungu ziwe pamoja nanyi.
Kwa wakristu, hongereni kwa kuingia nusu ya pili ya mfungo wenu. Pia, nawatakia ndugu zangu waislam mfungo mwema wa mwezi mtukufu wa Ramadhan, mwenyezi Mungu awakirimie Neema na azipokee sala na funga zenu.
Pasipo kuathiri imani na ibada yao kwa Mungu, nataka nitoe maoni yangu kuhusu uzembe uliopo Tanganyika Packers, kwa waumini wanaosali kwa Mtume Mwamposa.
Binafsi, sina shida yoyote na kusali kwao. Isipokuwa, kumekuwepo na tabia ya watu hawa kulala chini, kwenye uwanja wa wazi usiku kucha wakisubiri huduma hii.
Jumatatu moja Mwaka jana mwezi wa 7 wakati naanza kazi kwenye taasisi moja iliyo karibu na maeneo haya, nilishangaa kuona kusanyiko kubwa la watu waliolala chini ambao kwa hesabu ya haraka hawakuwa pungufu ya 500.
Katika kundi hilo, idadi kubwa ya watu walikuwepo ni wazee, wajawazito na wanawake wenye watoto wachanga sana. Hali hii haikuishia siku hiyo, imekuwepo hadi sasa.
View attachment 2562265Mtu yeyote mwenye akili timamu hahitaji elimu ya sayari ya 5 kuona kuwa mazingira haya ni hatari kwa afya ya wahusika.
Sehemu ndogo ya makundi ya watu waliolala hapo usiku wa kuamkia leo Machi 23, 2023
Kwa kuwa mimi ni mtu mwenye elimu ya fani fulani ya afya, inayohusika na kushughulikia wagonjwa moja kwa moja, huwa nawaza sana kila ninapoona watu hawa asubuhi. Fikiria hali ya sasa ya mvua, kisha mtazame mzee, au mwanamke mjamzito, mama mwenye mtoto mchanga au mgonjwa wa kisukari, presha au kifafa anayelala hapo usiku kucha kwa siku kadhaa akisubiria huduma.
Kibaya zaidi, sehemu za kujisaidia na kupata huduma muhimu za kibinadamu hazitoshi. Mathalani, ukipita hapo asubuhi utakuta watu wanapiga mswaki hadharani na kutema uchafu barabarani, au hata sehemu ileile ambayo huitumia kulala wakati wa usiku.
Baridi kali na vumbi ni chanzo cha magonjwa mengi hasa kwa watoto na wazee. Badala ya kupata huduma za kiroho, watu hawa wanaweza kuondoka hapo wakiwa na mzigo wa magonjwa mengine makubwa zaidi.
Naomba Serikali itazame suala hili kwa umakini. Kama imeshindwa kabisa kuweka utaratibu mzuri wa kumbana Mwamposa kwa kuwa yeye ndiye kiongozi, basi miundombinu ya eneo hili iboreshwe.
Kuacha hali hii iendelee ikiwa hivi itasababisha maafa makubwa. Uponyaji wa kiroho unapaswa kwenda pamoja na uponyaji wa kimwili.
Naomba kutoa hoja!
Mwamposa analipa Kodi kubwa saaaaana . Pia ana finance mafuta ya viongozi. So Kwa sasa aachwe Kwanza amalize kuchukua pesa za hao wanaolala nje ilihali Wana makwaoNawasalimu wote kwa jina la Upendo. Amani, baraka na neema za Mwenyezi Mungu ziwe pamoja nanyi.
Kwa wakristu, hongereni kwa kuingia nusu ya pili ya mfungo wenu. Pia, nawatakia ndugu zangu waislam mfungo mwema wa mwezi mtukufu wa Ramadhan, mwenyezi Mungu awakirimie Neema na azipokee sala na funga zenu.
Pasipo kuathiri imani na ibada yao kwa Mungu, nataka nitoe maoni yangu kuhusu uzembe uliopo Tanganyika Packers, kwa waumini wanaosali kwa Mtume Mwamposa.
Binafsi, sina shida yoyote na kusali kwao. Isipokuwa, kumekuwepo na tabia ya watu hawa kulala chini, kwenye uwanja wa wazi usiku kucha wakisubiri huduma hii.
Jumatatu moja Mwaka jana mwezi wa 7 wakati naanza kazi kwenye taasisi moja iliyo karibu na maeneo haya, nilishangaa kuona kusanyiko kubwa la watu waliolala chini ambao kwa hesabu ya haraka hawakuwa pungufu ya 500.
Katika kundi hilo, idadi kubwa ya watu walikuwepo ni wazee, wajawazito na wanawake wenye watoto wachanga sana. Hali hii haikuishia siku hiyo, imekuwepo hadi sasa.
View attachment 2562265Mtu yeyote mwenye akili timamu hahitaji elimu ya sayari ya 5 kuona kuwa mazingira haya ni hatari kwa afya ya wahusika.
Sehemu ndogo ya makundi ya watu waliolala hapo usiku wa kuamkia leo Machi 23, 2023
Kwa kuwa mimi ni mtu mwenye elimu ya fani fulani ya afya, inayohusika na kushughulikia wagonjwa moja kwa moja, huwa nawaza sana kila ninapoona watu hawa asubuhi. Fikiria hali ya sasa ya mvua, kisha mtazame mzee, au mwanamke mjamzito, mama mwenye mtoto mchanga au mgonjwa wa kisukari, presha au kifafa anayelala hapo usiku kucha kwa siku kadhaa akisubiria huduma.
Kibaya zaidi, sehemu za kujisaidia na kupata huduma muhimu za kibinadamu hazitoshi. Mathalani, ukipita hapo asubuhi utakuta watu wanapiga mswaki hadharani na kutema uchafu barabarani, au hata sehemu ileile ambayo huitumia kulala wakati wa usiku.
Baridi kali na vumbi ni chanzo cha magonjwa mengi hasa kwa watoto na wazee. Badala ya kupata huduma za kiroho, watu hawa wanaweza kuondoka hapo wakiwa na mzigo wa magonjwa mengine makubwa zaidi.
Naomba Serikali itazame suala hili kwa umakini. Kama imeshindwa kabisa kuweka utaratibu mzuri wa kumbana Mwamposa kwa kuwa yeye ndiye kiongozi, basi miundombinu ya eneo hili iboreshwe.
Kuacha hali hii iendelee ikiwa hivi itasababisha maafa makubwa. Uponyaji wa kiroho unapaswa kwenda pamoja na uponyaji wa kimwili.
Naomba kutoa hoja!
Hao ni homeless hata ulaya wapo na kuna baridi kinyamaNawasalimu wote kwa jina la Upendo. Amani, baraka na neema za Mwenyezi Mungu ziwe pamoja nanyi.

Duuh..mbona hatari hii..tukiacha utani makanisa yamekuwa mradi mkubwa sana. Kuna jamaa namjua kabisa kuwa ni muislamu pure na familia yake yote waislam.
Baada ya kumaliza chuo alihangaika kupata kazi akaishia kufanya volunteering kwenye NGO ya wa missionary. Kupitia huko alipata connection na wahubiri wakubwa akaishia kufungua kanisa dogo tu maeneo ya Tabata (sitolitaja jina nisije kumuharibia).
Kupitia ujanja ujanja wa kuweza kupiga makelele ya kuongea na kukariri mistari michache ya biblia pamoja na kualika wahubiri wakizungu aliokutana nao alipokuwa volunteer, leo hii kanisa ni kubwa mno na jamaa ana pesa ya kutosha.
Point hapa sio ukubwa wa kanisa na pesa yake bali imani ya jamaa. Mpaka leo anaswali kama muislam akiwa mwenyewe na kwa watu wake wa karibu anajulikana ni muislam lakini kanisani kwake ni mtumishi wa Mungu na pesa ya kutosha ya sadaka anakula.
Kwa kifupi hizi imani zimekuwa miradi kwa sasa.
si wataponywa? You are contradicting yourself! hawawezi kupatwa na magonjwa kwa vile wako eneo la uponyajiBaridi kali na vumbi ni chanzo cha magonjwa mengi hasa kwa watoto na wazee. Badala ya kupata huduma za kiroho, watu hawa wanaweza kuondoka hapo wakiwa na mzigo wa magonjwa mengine makubwa zaidi
NimeshawahiMimi nitakuwa mhasibu wa hili kanisa ikiwa litafunguliwa
Hivi karibuni nilikuwa mkoa mmojawapo wa kusini, nikaambiwa Muislam flani anaendaga kusali kwenye kanisa la Mwamposa nilipinga sana hadi niliposhuhudia kwa macho yangu.Wakiristo wengi uwezo wa kutumia akili zao uwa ni mdogo sana hasa katika mambo ya imani mfano kwa babu roliyondo kwa zamaladi mwanza wapo baadhi wanao dhani anaenda mbinguni jushua alivunja rekodi Kakobe kibwetele wa uganda hacha waliwe si akili zao ndogo
Mimi nitakuwa napangilia matumizi ya bajeti mbali mbali zitokanazo na sadaka.Mimi nitakua nahesabu sadaka na kufanya sorting. Nimewahi tayari. Mchungaji ni Bujibuji Simba Nyamaume
Changamoto; hizi nguvu huwa ni za msimu ndio maana hawawekezi kwenye ujenzi wa makanisa, na hatimaye kukimbilia kuwekeza sehemu nyingine itakayompatia ulaji pale nguvu zitakapo potea.Ila Mwamposa anazingua. Kuliko kujenga hotel Mbeya kwanini asingeanza kujenga hostels kwa ajili ya waumini wake kwanza.
Naamini angefanya hivyo angevuna pesa zaidi za kuweza kujenga mahoteli mengi zaidi.
Inabidi ajifunze kuthamini malighafi yake (waumini) ili kuendelea kuvuna zaidi (sadaka).
Mwamposa ajenga hotel ya kisasa jijini Mbeya
Mtume Boniface Mwamposa wa kanisa la Arise and Shine lililopo kawe Jijini Dar es Salaam amejenga hotel ya kisasa jijini Mbeya ambayo imezinduliwa leo hii na Spika wa Bunge la Jamhuri ya mmMuungano wa Tanzania Dr.Tulia Ackson. Mtume Mwamposa amejenga hotel hiyo ili kurudisha fadhila kwa jamii...www.jamiiforums.com