DOKEZO Hali ya Kawe ni mbaya, Serikali ichukue hatua dhidi ya Mwamposa na waumini wake

DOKEZO Hali ya Kawe ni mbaya, Serikali ichukue hatua dhidi ya Mwamposa na waumini wake

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kwani kwenye uislamu hakuna huu ushaitwani!!? Kuna watu wanaua wenzao eti kisa uende peponi kurithi mabikira 72,ni moja ya ujinga wa hizi dini!!


Kwahiyo huyo anayeua watu ndio dini imeua??!--- yaani mfano Mtu akizini tutasema dini ndio imezini??!!
 
Kwa mkwanja anaoingiza angeweza kuongea na serikali akaboresha tu ili wateja wakae mazingira rafiki
Kumbe mnajua suala la kupaboresha si la mwamposa ni la serikali sasa kwanini mnamkomalia mwamposa hapa badala ya kuiambia serikali
 
Kwaiyo awafukuze hela waliokuja nayo toka huko mikoani pengine imeishia pale pengine
hawana hela za kulala gesti kilichowaleta ni matatizo yao wanahitaji huduma sio kwamba wote wanajiweza ki uchumi
 
Hapa ninachokiona ni hate tu nothing new haiwezekani mtu umlaumu mpangaji kwa mazingira mabovu ya nyumba badala ya Baba mwenye nyumba
 
Kama ni suala la afya za waumini inawezekana isiwe ishu maana si huwa anawaombea halafu wanapona ?🐒
 
Kwa jicho jingine ukitazama stori hii, unagundua kuwa watu wana shida aiseee...
 
Back
Top Bottom