Hali ya kua na mawazo baada ya kufanya ngono

Hali ya kua na mawazo baada ya kufanya ngono

Hayo mawazo yanakuonya uache uzinzi usije ingia kwenye grade ya taifa
 
overthinkers hii inawakutaga sana (bora ninge...)
 
nilihamiaga mtaa x ili kuwa karibu na mbususu ila cha ajabu nimekinai tena
 
Yeah mi binfsi hiyo hali huwa inanikuta sana ndo maana nimekua na mahusiano na wanawake wachache sana, kuna muda huwa najiona nimejiongezea mikosi
Huo ndo ukweli mibalaa na mikosi na nyota yako ya mafanikio anatembea nayo huyo uliyelala nae
 
Quran 59:16
"Ni kama Shetani anapomwambia mwanadamu: ‘Kufuru!’ Lakini anapo kufuru, Shetani huslsema: ‘Mimi sina uhusiano wowote nawe. Hakika mimi namuogopa Allah, Mola wa walimwengu wote.’"

Kabla ya kuzini shetani anakuwa anakupamba unaona inamake sense ila baada ya hapo anakuruka unajiskia unyonge ndo hizo guilt baada ya kulala na binti wa watu.
Shetani akishakuingiza mkenge anaenda kufungua mashtaka kuwa wewe ni mkosaji na haufai kuishi
 
Kama kufanya nGONO kwako na wanawake tofauti tofauti unaona ni normal wala hakuna mawazo yanayo kufanya uone unakosea na ni nje na mwanamke wako halali basi tayare wew ni mraibu wa ngono na ukisha kua mraibu huwezi hishiwa hamu na tamaa ndo inakua kimbilio lako, kwahyo ngono kwako na wanawake tofauti tofauti inakua kitu cha kawaida sana. Lakini kumbuka hakuna kitamu kilichopo free you will pay by any cost
Sasa nawewe kwanini ufanye ngono na wanawake tofauti tofauti? Unajua mnajitafutia matatizo bure? Mtakuja kufa nyie watoto.
 
Back
Top Bottom