Hali ya kua na mawazo baada ya kufanya ngono

Ukiona umemaliza kuzini na una hofu na majuto maana yake bado Utu na hofu ya dhambi imo ndani yako,

Ila wenzangu na mimi tukimaliza na tunaitaka tena Mtuombee tu ndugu zangu.
 
Hayo mawazo yanakuonya uache uzinzi usije ingia kwenye grade ya taifa
 
overthinkers hii inawakutaga sana (bora ninge...)
 
nilihamiaga mtaa x ili kuwa karibu na mbususu ila cha ajabu nimekinai tena
 
Yeah mi binfsi hiyo hali huwa inanikuta sana ndo maana nimekua na mahusiano na wanawake wachache sana, kuna muda huwa najiona nimejiongezea mikosi
Huo ndo ukweli mibalaa na mikosi na nyota yako ya mafanikio anatembea nayo huyo uliyelala nae
 
Shetani akishakuingiza mkenge anaenda kufungua mashtaka kuwa wewe ni mkosaji na haufai kuishi
 
Sasa nawewe kwanini ufanye ngono na wanawake tofauti tofauti? Unajua mnajitafutia matatizo bure? Mtakuja kufa nyie watoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…