KERO Hali ya kuvuka Kigamboni si shwari, tunalazimika kuvuka kwa mitumbwi

KERO Hali ya kuvuka Kigamboni si shwari, tunalazimika kuvuka kwa mitumbwi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mimi sipo kigamboni ila nishawahi kupanda vivuko ivyo na hawatoi hata elimu yakutumia life jacket vinaendeshwa kienyeji enjyeji hata watu wengi hawajui kutumia maboya hayo na inabidi wawe wanatoa annoucement ya safety ukiwa kabla haujapanda with video. Action
Huwa wanafanya kwa vitendo Mara moja moja pia kuna michoro inaelekekeza jinsi ya kuvaa kwenye panton Ila Ndio hadi uione ni kazi
 
Ndugu yetu Lucas Mwashambwa husika na kichwa cha habari cha hapo juu

Tupazie sauti Sisi wakazi wa kigamboni hali ya karudi majumbani kwetu ni mbaya Sana

Sasa tunalazimika kuvuka Kwa mitumbwi ya Kasia bila life jacket na Hali ya hewa ya mvua

Boti za Zanzibar na meli kubwa zikipita mawimbi yanakuwa makubwa mno yanaweza kufunika hii mitumbwi

Tusadie kupaza sauti ili Jambo la haraka lifanyike hii adha ya kurudi majumbani kwetu ipungue au kumalizika kabisa

Wasalaam ni Mimi ndugu yako View attachment 3022628
pole sana watumia pantone kigamboni,
Asanti sana gentleman kwa information ya kadhia hiyo sumbufu na hatarishi kwa maelfu ya walipakodi muhimu sana kigamboni 🐒

we are working hard on it..
 
Tupazie sauti Sisi wakazi wa Kigamboni hali ya karudi majumbani kwetu ni mbaya Sana

Sasa tunalazimika kuvuka Kwa mitumbwi ya Kasia bila life jacket na Hali ya hewa ya mvua

Boti za Zanzibar na meli kubwa zikipita mawimbi yanakuwa makubwa mno yanaweza kufunika hii mitumbwi

Tusadie kupaza sauti ili Jambo la haraka lifanyike hii adha ya kurudi majumbani kwetu ipungue au kumalizika kabisa

Wasalaam ni Mimi ndugu yako.

Shauri yenu kama hamwezi kupaza sauti kubalini mateso.
 
Dawa ni kuhama kigamboni kwa muda hadi vivuko virudi kazini, au kama vipi tuogelee?
Mwarobaini ni serikali kuruhusu wenye pesa wawekeze kwa kuleta vivuko vikubwa!
Mitumbwi si salama kabisa siku yoyote tutasikia mayowe na labda ndicho wanasubiri.
Yaani majanga kila kona , hakuna kitu tunaweza!
 
Tunawatawala wahuni sana Nchi hii.hicho kiviko kutengenezwa kinachukua miezi mingapi?Hadi vifo vitokee ndiyo waanze kuigiza kuuumia?Kila siku kivuko kinaharibika kwanini wasitengeneze kipya?Mauzo ya Nchi walipoiuza Kwa waarabu Kwa Nini wasitenge bilioni kama 10 kununua kivuko kipya?Hivi nyinyi watawala uchwara hamuoni aibu mkitembelewa na viongozi wa mataifa ya nje kuona watu wenu wanatumia usafiri duni aliotumika miaka ya 1500(kabla ya ugunduzi wa teknolojia mpya?
 
Tupazie sauti Sisi wakazi wa Kigamboni hali ya karudi majumbani kwetu ni mbaya Sana

Sasa tunalazimika kuvuka Kwa mitumbwi ya Kasia bila life jacket na Hali ya hewa ya mvua

Boti za Zanzibar na meli kubwa zikipita mawimbi yanakuwa makubwa mno yanaweza kufunika hii mitumbwi

Tusadie kupaza sauti ili Jambo la haraka lifanyike hii adha ya kurudi majumbani kwetu ipungue au kumalizika kabisa

Wasalaam ni Mimi ndugu yako.

Poleni sana wakazi wa Kigamboni. Mamlaka hu sika wamewasikia.
 
Tupazie sauti Sisi wakazi wa Kigamboni hali ya karudi majumbani kwetu ni mbaya Sana

Sasa tunalazimika kuvuka Kwa mitumbwi ya Kasia bila life jacket na Hali ya hewa ya mvua

Boti za Zanzibar na meli kubwa zikipita mawimbi yanakuwa makubwa mno yanaweza kufunika hii mitumbwi

Tusadie kupaza sauti ili Jambo la haraka lifanyike hii adha ya kurudi majumbani kwetu ipungue au kumalizika kabisa

Wasalaam ni Mimi ndugu yako.

Wanasubiri majanga yatokee ndiyo waamke. Poleni.
 
Hivi sisi wakazi wa kiga serikali inatuoma wangese sana ati ehee imaumiza sana pale ferry tunalipia daraja tunalipia watu salenda tanzanite bridge ni bureee lakini huduma tunayopata ni kama hisani boti tatu zote ni mbovu kabisa.Mama km uko magogoni hebu shuka hapo hata kwa mguu tu kajioonee ushenzi wa unao wapa madaraka wanabchi tunauza roho tuwahi makazini.Basi kama mmeshindwa mpeni mwekezaji maana nyie hakuma mnalo weza inaumiza sana.
 
Temesa wajitafakari ila pia wapo karibu na navy hapo hamna shida itakayotokea hapo town ukiwa kwenye panton unaona bandarini pale ,temesa waharakishe vyombo virudi haraka majini
Temesa ni uchafu tu wameahindwa hao boti walipewa tatu mpaka sasa zote ni mbovu ila na uhakika ukipewa gharama za matenfenezo wanazoliowa unaweza hata nunua boti mpya.Wampe azam pale alete vinu nyukii fasta tu.
 
Back
Top Bottom