Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Poleni sana wana Sirari!Wanasikitisha sana.Juzi juzi huku kwetu Tarime Vijini kulikuwa na mashindano ya mpira wa miguu kwa jina maarufu la WAIRA CUP.Cha ajabu baada ya fainali kulikuwa zawadi kwa mshindi wa kwanza Sirari na mshindi wa pili Nyamongo basi zao zote hao waliochukuwa zawadi zilipata ajali na kijana wa Sirari kufariki papo kwa papo.Kwenye mazishi yake Mbunge huyo alitoa pole na pesa lukuki kama faraja kwa wafiwa na tambo nyingi pamoja na vitisho kwa wale ambao hawakuridhika na ajali hizo.