KERO Hali ya kuvuka Kigamboni si shwari, tunalazimika kuvuka kwa mitumbwi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Wampe azam nini? nchi nzima au? Ina maana kila kitakachokuwa kigumu akabidhiwe azam? Ianze Ikulu basi!
Na wewe umeona ehe?Hawa watu kufikiria ni sifuri mawazo yao yako kitegemezi tegemezi tu,kwani bila Azam maisha Tanzania hayawezi kwenda?
 
mimi baada ya kuishi kigamboni ndo nilikuja kujua serikali yangu ni hovyo kiasi gani kupitia hivyo vivuko
 
Piga mbizi
 
Wapo hivyo... Na hawaoni aibu
Wanasikitisha sana.Juzi juzi huku kwetu Tarime Vijini kulikuwa na mashindano ya mpira wa miguu kwa jina maarufu la WAIRA CUP.Cha ajabu baada ya fainali kulikuwa zawadi kwa mshindi wa kwanza Sirari na mshindi wa pili Nyamongo basi zao zote hao waliochukuwa zawadi zilipata ajali na kijana wa Sirari kufariki papo kwa papo.Kwenye mazishi yake Mbunge huyo alitoa pole na pesa lukuki kama faraja kwa wafiwa na tambo nyingi pamoja na vitisho kwa wale ambao hawakuridhika na ajali hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…