KERO Hali ya kuvuka Kigamboni si shwari, tunalazimika kuvuka kwa mitumbwi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Poleni sana wana Sirari!
 
Maza nchi inemshinda kila sehemu kumeoza nchi inanuka uozo tu
VIvuko viwili vimepekekwa matengenezo, wameahidi kufikia Dec 2024 vitakuwa tayari, eti kimoja walidhanj matengenezo ya kawaida, kilipofika huko, wakaona na bati limeoza, ndio maana muda wa matengenezo umekuwa mrefu.

Ni kizimkazi style of siphoning chururu from Tanganyika to..........
 
This is not acceptable
 
Tumerudi tena kule kule.. nakumbuka siku tukasikia ajari ya mtumbwi feri and kuna dogo darasani hakuja siku hiyo wasiwasi ikawa... ila hakuwa kwenye huo mtumbwi.. ila wazazi wake ilibidi wamhamishie school za huko huko kigamboni...
 
Subirini daraja la kisasa toka aghakhani hadi maeneo ya tungi mmadani. Endeleeni kuichagua CCM neena inazidi kumwagika.
 
SSH unamuonea tu bure!
Tatizo la msingi ni ccm
Hapa hakuna kutetea wala kuonea mtu, ni kuusema ukweli kama ulivyo. Hawezi kujitoa maana hicho ni chao na amekuwa huko miaka mingi tuu na hakulazimishwa kuchukua nafasi aliyo nayo kakubali mwenyewe. Na lawama ya failure za serikali nilazima zimuelemee. Sasa unataka tumlaumu nani wakati yeye ni Mwenyekiti?
 
Unalaumu TAWI au mti na mizizi yake?
ccm imekufa na systems zake zote!
 
Kwanini msitimie barabara? ama iko mbali sana
 
Hii nchi inakwenda anticlockwise
 
Inategemea na unakotoka mkuu Kuna sehemu kuvuka Kwa Barabara ni Shida sana alafu ni mbali
Poleni, hapa wa kulaumiwa ni jamii zetu za kiafrika kwakutokuwa na mipango endelevu halafu kutotatua matatizo kwa wakati kusubiri hadi kelele ziwe nyingi ama hadi kutokee majanga
 
Bado mnavuka kwa mitumbwi huko

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…