Hali ya mahindi Mbeya

Hali ya mahindi Mbeya

So tutegemee mahindi kupanda zaidi bei
Huo ndiyo uwekano
Lakini suala nini kimetokea .
Angalia maoni ya mwenzangu kwenye screen shot hii
 
Attachments

  • Screenshot_20230312-062755.png
    Screenshot_20230312-062755.png
    37.2 KB · Views: 22
  • Screenshot_20230312-062755.png
    Screenshot_20230312-062755.png
    37.2 KB · Views: 21
Mfanyabiashara wa mahindi unaanza kujosetia gap taratibu ili ionekane mahindi yatakuwa shida sn mwaka huu.

Kwa taarifa yako mahindi Safari hii yamekubali sn mvua zimenyesha vizuri, mbolea imepatikana kwa wakati na muhindi umekubali shambani.

Ni wkt ss kwa wananchi kufurahia maisha kwakuwa chakula Sasa kitapatikana kwa bei nafuu.

Mungu ni mkubwa sio wkt wote ni mateso.

Pambana na hali yako.
 
mkuu umeandika kwa kutumia makalio sio bure...watu wapo kwenye hoja ya msingi wewe unaleta dhihaka
 
Huo ndiyo uwekano
Lakini suala nini kimetokea .
Angalia maoni ya mwenzangu kwenye screen shot hii
Ndundu kweli hali ya mahindi sio nzuri may be pia mbegu hazikuwa nzuri , lakini pia sehemu nyingine kama iwambi,iyunga na sisitila mahindi yamekubali sana
 
Yule dc alotumbuliwa hapo alikua na hekari ngapi mkuu? Mwambie akupatie tu hata ile mawani yake kama ukumbusho
Hahaaaa Mkuu hao Wanasiasa achana nao wewe jikite kuchapa kazi ya kupeleka mkono kinywani. Siku zote jambo ambalo halitunishi akaunti yangu huwa sina muda nalo
 
Back
Top Bottom