Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma vizuri, taratibu zote tumefata.Shamba kuchoka,
Kuchelewa kuweka mbolea kwa wakati, au
Kuchelewa kupalilia zinaweza kuwa sababu za anguko lako.
Mlishangilia kifo cha Dkt Magufuli tubunimwaka huu kwetu Songea pia mahindi changamoto sana
Mlishangilia kifo cha Dkt Magufuli tubuni
Songea mmepata changamoto gan?mwaka huu kwetu Songea pia mahindi changamoto sana
Hv mbolea ya Yara kwann haikuingzwa ruzuku yumebaki na daap ambazo nyngi naskia zlkuwa za mchakachuoHuo ndiyo uwekano
Lakini suala nini kimetokea .
Angalia maoni ya mwenzangu kwenye screen shot hii
Mvua adimu sanaSongea mmepata changamoto gan?
Bora sana songea Kuna sehemu kushakauka ukitia kiberiti panawakamvua adimu sana
mkuu umeandika kwa kutumia makalio sio bure...watu wapo kwenye hoja ya msingi wewe unaleta dhihakaMfanyabiashara wa mahindi unaanza kujosetia gap taratibu ili ionekane mahindi yatakuwa shida sn mwaka huu.
Kwa taarifa yako mahindi Safari hii yamekubali sn mvua zimenyesha vizuri, mbolea imepatikana kwa wakati na muhindi umekubali shambani.
Ni wkt ss kwa wananchi kufurahia maisha kwakuwa chakula Sasa kitapatikana kwa bei nafuu.
Mungu ni mkubwa sio wkt wote ni mateso.
Pambana na hali yako.
Ndundu kweli hali ya mahindi sio nzuri may be pia mbegu hazikuwa nzuri , lakini pia sehemu nyingine kama iwambi,iyunga na sisitila mahindi yamekubali sanaHuo ndiyo uwekano
Lakini suala nini kimetokea .
Angalia maoni ya mwenzangu kwenye screen shot hii
Yule dc alotumbuliwa hapo alikua na hekari ngapi mkuu? Mwambie akupatie tu hata ile mawani yake kama ukumbushoHata huku Sumbawanga hali siyo njema kwa upande wa Mahindi. Ila Mpunga na Maharage tutapiga bingo kama kawaida.
Hahaaaa Mkuu hao Wanasiasa achana nao wewe jikite kuchapa kazi ya kupeleka mkono kinywani. Siku zote jambo ambalo halitunishi akaunti yangu huwa sina muda naloYule dc alotumbuliwa hapo alikua na hekari ngapi mkuu? Mwambie akupatie tu hata ile mawani yake kama ukumbusho