Uchaguzi 2020 Hali ya maisha mtaani ni ngumu mno

JPM akijibu swali langu nampigia kura yangu kwanini Serekali ilijiondoa kwenye Mkataba wa kuendesha Mambo yake kwa uwazi?
 
Ndio taifa analotengeneza Lissu hili. Wewe shinda mitandaoni uone kama utakula hizo MB.Mungu hadhihakiwi, apandacho mtu huvuna. Tegemea hali uliyonayo, kuongezeka mara dufu usipochukua hatua.
Lisu ataleta Uhuru na maendeleo,bila Uhuru hakuna maendeleo
 
Hahahahh
Niwaambie MAGUFULI Anachukiwa Mitandao Tuu tena Sana Sana Jamii forum Na Twitter

Kwa Ground Mambo Ni tofauti endeleeni kujipa Mioyo
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ninachokiona Mbeya Jiji, JPM ft. Rayvany....na maneno yako hakika mitandaoni na kwenye ground ni vitu viwili tofauti
 
Magufuli ana mshahara wa milion 10 per month, anatumia public funds kwa malazi, mavazi, ulinzi, matibabu na kila aina ya mahitaji.

kapora hekari 25000 ngara.

Na ufisadi wa kila aina.


Leo machinga wa mbeya mjini anaambiwa kitambulisho cha umachinga kitatumika kuombea mkopo benk.


Dharau ya aina hii hadi lini kwa wananchi?

Au kwa sababu wanachi wengi hawajui kanuni na vigezo vya mabenk kutoa mikopo?


He is seriousless.
 
Mkuu mtaani ukimsema vibaya huyo mtukufu JIWE lazima ikutokee puani, ukiamua kumzungumzia andaa ngonjera za kumsifu tu. Alijindanganya baada ya kutosikia yeyote akisema vibaya kuhusu jiwe au ccm na wakadhani upinzani umekufa, sasa kinachotokea hawaamini kabisa mpaka wameomba msaada kwa tumeccm

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Hiki kitambulisho cha machinga hakina tofauti yoyote na kitambulisho cha mwanafunzi anachopewa akifika shuleni form one au five,


Wanasiasa tuache dharau kwa wapiga kura wetu
 
Maisha hayajawahi kuwa mepesi, ugumu upo na utaendelea kuwepo hata raisi awe malaika.
Hakuna raisi atayekuletea ugali mezani, pamoja na huo ugumu unaosema Goba sasa hivi imejaa nyumba za hatari.
Mkuu uko serious na hii comment au unafanya utani? Kama siyo utani basi wewe ni MATAGA.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Mtaani hatuwezi kusema kitu,, tuna hofu na watu wasiojulikana
We can't breathe but we can't say
"" "sir I can't breathe ''
Mwambie huyo MATAGA, yeye anadhani asiposikia watu wakilalamika mtaani basi anadhani hali ni shwari. Amuulize jiwe aliyejiaminisha kuwa upinzani umekufa baada ya kutosikia lolote baya juu yake.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Kulikua na wananchi wengi sana tena zaidi ya sasa waliokua na hali mbaya zaidi miaka mingi iliyopita mijini nq vijijini. Hawakua na barabara za kupita masika wala kiangazi, hawakua na huduma za afya, elimu, umeme wala maji. Tena hao wananchi ni ndugu zetu, jirani zetu lakini hapakua na wa kuwasaidia kupaaza sauti
Leo hii wanaelewa nani wampe kura zao

Tukutane 28102020
 
Maisha hayajawahi kuwa rahisi.. Labda kwenye awamu zilizipita ulikuwa bado kijana mdogo na wazazi wako walikuwa wanakupa kila ulicho kihitaji ndio maana hukuona kama maisha ni magumu.
By the way pamoja na hayo, simama kwenye mataa Mwenge uhesabu magari mapya yaliyoingizwa nchini ndani ya miezi 6, utashangaa na kujiuliza hawa wamepata wapi pesa! Ukienda maeneo yanayochipukia utasikia kiwanja kinauzwa milioni ishirini na few days later kimechukuliwa.. Majengo wanayojenga watu si ya nchi hiii.. Fanya juhudi, omba Mungu akushushie neema ili siku moja nawe utoke kimaisha!
 
Kipindi hawana hayo uliyosema je chama gani kilikuwa madarakani?
Pathetic

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Hatuangalii chama tunaangalia kiongozi mkuu wa chama
Chadema chini ya Dr slaa ilikua bora ila sio sasa
Ethiopia Nchi yenye Ndege zaidi ya 120 kuliko Tanzania, Ethiopia ina Flyovers kuliko Tanzania, Ethiopia ina Tren ya Mwendo kasi kuliko Tanzania, Lakini Leo hii Waethiopia 28 na Wasomali 4, Wamekamatwa Wilayani Pangani, Wakijaribu kutoroka kwenda Kujitafutia Maisha Nchi za Kusin

Halafu maccm yanajisifu bila aibu, fyoko fyoko fyoko ndegeeeeee
 
Maisha hayajawahi kuwa mepesi, ugumu upo na utaendelea kuwepo hata raisi awe malaika.
Hakuna raisi atayekuletea ugali mezani, pamoja na huo ugumu unaosema Goba sasa hivi imejaa nyumba za hatari.
Ni kweli lakini tatizo lichangiwa na Vijana wengi kukosa ajira
 
Kwa
Kwani hamuwezagi kuandika vizuri bila kutumia hizo lugha za "fyoko fyoko fyoko"?

Kwanza useme umetumia vigezo gani kufananisha Ethiopia na Tanzania?
 
Tunapaswa kuingia mtaani na kufanya chochote hadi haki ipatikane, tusitegemee tume ya uchaguzi hakuna kitu pale.
Wakati wa maandamano ya mange ulijificha wapiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Fanyakazi, utafanikisha, usikae kijiweni utegemee kugongea hadi fegi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…