Zanaco
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 1,611
- 1,590
JPM akijibu swali langu nampigia kura yangu kwanini Serekali ilijiondoa kwenye Mkataba wa kuendesha Mambo yake kwa uwazi?Mjini mnatafuta nini wajameni? Acha kuishi mjini kwa kubangaiza mtu anatembeza mikanda 3 ya suruali, key holder kuanzia jua linachomoza hadi giza linaingia eti naye anasema vyuma vimekaza! Njoo huku kijijini maisha raha na hivi tumepatiwa umeme wa REA, barabara za lami na treni za umeme zinakaribia kuja, nk maziwa, viazi, mahindi, misosi ya kumwaga!
Nje ya mada: Kumbe Trump wa Marekani Tangu awe rais amelipa kodi ya US$ 750 tu? Urais ni dili!!