Uchaguzi 2020 Hali ya maisha mtaani ni ngumu mno

Nicheki pm chap
 
Hapo pa mkopo umepiga mlemle Tundu Lissu ataichukua hii point wananchi waelewe hali ilivyo tete
 
Wanaenda kutafuta maisha, ungejiunga nao, ukaoshe wazee Ulaya, wakati mapori ya kilimo na ufugaji yapo tele TZ, unataka Serikali ikugawie pesa na ukoo wako. Hakuna nchi inayofanya hivyo duniani. Jitume kijana. Usipofanyakazi huwezi kula.
 
Kazi yetu Ni kupiga kura hayo mengine tutajua hapohapo
 
Hahahahh
Niwaambie MAGUFULI Anachukiwa Mitandao Tuu tena Sana Sana Jamii forum Na Twitter

Kwa Ground Mambo Ni tofauti endeleeni kujipa Mioyo
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Watu wa jamiiforums wanaishi wapi? Magufuli watu hawampendi ila wanaogopa kuongea hadharani ,majibu Ni 28/10
 
wewe lazima utakuwa mvivu.
sisi tuko lundamatwe tunalima vitunguu na nyaya na tunauza freshi kabosaa wewe upo umekaa kijiweni unapiga soga!!
acha kulemaa nenda ukalime usikae kijiweni
 
mkimchagua tena hali itakuwa ngumu mara tano ya sasa donor country hawamtaki hana ufahamu na mambo ya uchumi wala mahusiano ya kimataifa,katika miaka mitano iliyopita alikuta miundo mbinu ya kiuchumi ya JK hii mitano tena ni 5 solid take my point
 
Nimekata tamaa kupiga kura kutokana na mwonekano wa NEC. Inaonekana hata mgombea nimtakaye akishinda hatatangazwa
Timiza wajibu wako, piga kura ya kumkataa shetani na kazi zake, kazi ya kulinda kura waachie kina Lisu wenyewe
 
Mimi kwa siku napangua mizinga (vibomu ) vya kuombwa hela na wadada zaidi ya 6 wengine hata sio wapenz wangu ila bas tu ukionesha kumzoea anaomba hela. Kunasiku nlikua naandika nikakuta mpaka jioni inasoma 350,000 za kuombwa tu huyu kaomba 15, huyu kaomba 30, yule 20 in total ilisoma 350 nikasema what if ningetoa? Na kesho unaamka na request zingine . Maisha yamekaza sana
 
CCM hawana jipya uwezo wao kiuchumi nadipo walipofikia sanasana watakijibu kwamba fanya Kazi acha kubeti ama ulikuwa unapiga dili
 
Kama hujui hata mimi ukinikuta mtaani namsifu Magufuli, Tanzania imegeuzwa Polisi state.

Ukitaka kuamini yaliyomo mioyoni mwa Watanzania subiri tarehe 28.

Hata Paskal Mayalla wajumbe walikuwa wakitabasamu naye na kumuahidi kura za kishindo ila kwenye sanduku la kura aliambulia kura moja tu.

Hii ndii style tunayokwenda kumsuprise Meko huko mtaani ni sisi ndio tunamsifu kwa kulinda usalama wetu, ila mioyoni mwetu anajuwa Mungu mwenyewe, hii ni siri tu nimekumegemea usimwambie mtu maana akijuwa atafuta uchaguzi.
 
Haa wewe unaombwa nyingi Sana
 
Lini hali ya maisha iliwahi kuwa RAHISI ? Kwa mifumo na utamaduni wa waafrika kuuondoa umasikini kwa watu wengi itachukua muda sana.Iwezo wetu wa kufikiri unatia shaka.
kuna hatua walizo chukua huyu jamaa zimetufikisha hapa huwezi ondoa wafedha kwenye mzunguko abrupt na hukuukirebisha sheria mbalimbali biashara,huu mfumo aliwekaDaudi Balali wakes na accountzatra kwenye mabenki zilistimulate uchumi saana
 
wewe lazima utakuwa mvivu.
sisi tuko lundamatwe tunalima vitunguu na nyaya na tunauza freshi kabosaa wewe upo umekaa kijiweni unapiga soga!!
acha kulemaa nenda ukalime usikae kijiweni
Njoo ununue vitunguu huku vimejaa hakuna wanunuzi. Wanunuzi walikuwa Wakenya, bwana yule kagombana na Uhuru Kenyatta biashara imeota mbawa. Vitunguu vinaozea shambani. Tunapokuambia hali ni ngumu ujue ni ngumu kwelikweli.
 
Ukiwa mwepes wa kutoa unajilostisha mwenyewe unaanza kujiona huna la maana unalofanya kumbe hela unagawa kwa madem ambao hata hawana msaada na ww siku umepata matatizo
 
Uchumi wakati haujafika maeneo hayo basi chagua TUNDU LISSU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…