Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
- Thread starter
-
- #281
Mkuu kwanini usikomae tuuMkuu nilifungua biashara ya chips mjini uko ila mambo hayajaniendea vizuri nimeamua nifunge nianze biashara nyingine tu..
Location Na vifaa naviuza kwa anaehitaji anicheki PM tuyajenge ntamfanyiaa ofa baadhi ya vitu
Unavuta bhangi ya wapi?Niliamka saa 10 baby. Siwezi kuota mchana
Home grown pot. Skanka nzuri tu. Njoo tuvute weekend nakutumia nauli na yakutolea.Unavuta bhangi ya wapi?
Kwamba mimi ndio huyo mbusii?Nikisema Maghayo unaona nakuonea
wewe ndio mimiKwamba mimi ndio huyo mbusii?
Hamna kitu ka iko. Wewe ni msupuu kabisa pisi la haja.wewe ndio mimi
ππππππusije ukaiga,ile ni kiini machoInategemeana na Bahati ya mtu, mfano mimi nilianzisha biashara ya kuuza madafu, baada ya mwezi nikapata tenda ya kuuza madafu ikulu. Ikulu dafu moja wananunua laki 3 .
Yeah inahitaji sacrifice,maana shida inayokuja kwanza unapambana kwa kutumia nguvu nyingi bila ya kuwa na connection yoyote ili utoboe uwainue ndugu zako lakini cha ajabu ndugu zako watakuwa wanakuvuta nyuma kimaendeleo usiwazidi ili muwe sawa.Mkuu wanasema kama ukoo wenu ni masikini basi kukwepa hiyo chain ni ngumu aiseer
Kuna vitu ukiviwazia sana unaweza ukadata hivi ushawahi kuwaza kwa mfano uko na biashara unauza unaamka asubuhi sana saa kumi na mbili ushafungua duka na watu hawaji kununua halafu kuna muuzaji mwingine jirani yako yeye anaamka saa tatu ndio anaenda kufungua duka halafu akifika pale dukani anakuta wateja wako mlangoni wanamngojea afungue duka wanunueπMkuu ila hapa mjini hapa.
Sijui wengine wanaloga..
Daaah Braaaandeeee
ππππππππHiyo siyo" typing error", "typo" zinafahamika na ujinga unafahamika.
Mtu anaeshindwa kutofautisha hata R na L ni lazima mjini apaone "pazito".
Yote ipo kichwani kwa mtu.
Fikiria sisi tuliozaliwa na kukulia mjini utwambie mjini "pazito", tutakuelewa kweli?
Uzit na wepesi wa maisha upo mawazoni mwetu, siyo uhalisia.
"pazito" pana kilo ngapi na huko kwepesi pana kilo ngapi?
Asilimia 70 ya watu wa mjini wanaishi kwa hii janjajanja sasa ukiwa mgeni huwezi kuelewa kinachofanyika hadi hela inaingiaπππππMimi huwa nikifika kule nakaa nawaangalia sana yani unakuta mtu yupo na simu tu anazuga kwenye maduka mara hapa mara kule ila kufika jion mwamba anaondoka na hela ndefu halafu yupo smart mbaya
Ulikosea sana kuja Dar, wenzako waliokuja kwa pupa wengi wao hivi sasa wanashikishwa ukuta huko mitaani. Sema tu wewe ni jasiri kwa kuamua kukomaa na maisha badaΕa ya kuinamishwa, hongera sana kwa hilo. Vumilia tu utafika.Wasalam Ndugu jamaa na marafiki.
Hali ya mjini hapa Dar es Salaam ni tofauti na nilivyofikiria nimeamini mjini pazito ππππ.
Mjini pazito aiseee, yaani nilijua nikishapata biashara ndio nishamaliza kumbe bado kuna kusugua sana.
Mjini pazito nyie watu hawana huruma kabisa. Bora ningebaki mkoani huko.
Ila ngoja nikaze hivi hivi mpaka kieleweke kikubwa tunapata cha halali.
Kuna time unapitia hata hamu za wanawake unakuwa huna kabisa kutokana na ugumu wa life hapa Dasalamu.
Mjini pazito π π π π
Mkuu ingia ukopeshe vyombo kama waha pitia bukubukuMkuu shukrani sana aiseee .
Ngoja tupambane mkuu..
Amini kuwa sisi pia ni vijana wa kupambania japo kuna mda tunasahau tunapambania nini mkuu ahaha
Hivi kule kurumatuma ni hata kwa wahindi wenzao ni kwa waafrikaAhahahahahah kmmke wale mbwa wale hapana aiseeee.
Hata viwandani moto ule ule mkuu daaah
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Inategemeana na Bahati ya mtu, mfano mimi nilianzisha biashara ya kuuza madafu, baada ya mwezi nikapata tenda ya kuuza madafu ikulu. Ikulu dafu moja wananunua laki 3 .
Ahahahah daaahππππππusije ukaiga,ile ni kiini macho
Kuna mda inabidi uwe na roho ngumu mjini hapa aiseee.Yeah inahitaji sacrifice,maana shida inayokuja kwanza unapambana kwa kutumia nguvu nyingi bila ya kuwa na connection yoyote ili utoboe uwainue ndugu zako lakini cha ajabu ndugu zako watakuwa wanakuvuta nyuma kimaendeleo usiwazidi ili muwe sawa.
Mi naweza pigana na huyo jamaa aiseee huu sasa utakua ni uchawi nje nje aiseee ahahahaKuna vitu ukiviwazia sana unaweza ukadata hivi ushawahi kuwaza kwa mfano uko na biashara unauza unaamka asubuhi sana saa kumi na mbili ushafungua duka na watu hawaji kununua halafu kuna muuzaji mwingine jirani yako yeye anaamka saa tatu ndio anaenda kufungua duka halafu akifika pale dukani anakuta wateja wako mlangoni wanamngojea afungue duka wanunueπ