mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Hapana fanya utafiti aina ya biashara ya kuwateka wakazi husika wa eneo hilo lazima ujue wanapenda nini,si kila biashara inafaa kila eneo.Kweli mkuu wala sio uwongo....
Sema mi nipo sehemu hapa nemetega ki library ili nipate chochote kitu ila sasa naona kama wananchi wa hapa wanafanya life iwe ngumu sasa aahahah
Unaweza ukawalaumu na kuwaona nuksi kama hawakupendi kumbe shida ni aina ya biashara unayouza