Hali ya mjini hapa Dar es Salaam ni tofauti na nilivyofikiria

Hali ya mjini hapa Dar es Salaam ni tofauti na nilivyofikiria

Wasalam Ndugu jamaa na marafiki.

Hali ya mjini hapa Dar es Salaam ni tofauti na nilivyofikiria nimeamini mjini pazito 🙌🙌🙌🙌.

Mjini pazito aiseee, yaani nilijua nikishapata biashara ndio nishamaliza kumbe bado kuna kusugua sana.

Mjini pazito nyie watu hawana huruma kabisa. Bora ningebaki mkoani huko.

Ila ngoja nikaze hivi hivi mpaka kieleweke kikubwa tunapata cha halali.

Kuna time unapitia hata hamu za wanawake unakuwa huna kabisa kutokana na ugumu wa life hapa Dasalamu.

Mjini pazito 🙌 🙌 🙌 🙌
Pole mkuu, mimi mwenyewe nilirudi Mbeya . ila nikajipanda upya!
Sasa nakula kimkakati!
 
Back
Top Bottom