Hali ya mjini hapa Dar es Salaam ni tofauti na nilivyofikiria

Hali ya mjini hapa Dar es Salaam ni tofauti na nilivyofikiria

Unajua issue inayotukost cc wa , tz africa ni kwamba kila mtu anataka kuwa mchuuzi na si ______, mwishoe nini kinaenda kutokea?
Na wengi hawajui hii kitu na kama wanajua basi hawajua zaidi ni kipi bidhaa gan za _____. WALIOFANIKIWA KUFANYA HAYO NDIO MABILIONEA ALL OVER THE WORLD.
Bado sijakupata
 
stage nyingine umeshaipanga kuwa utafanya bizness gan ya kukufanya uvimbe zaidi au utafukiria baada ya kupata basic needs?
Mda huu napambana kupata basic need..
Kuna permanent work ambayo nafukilia baada ya kupata hizi basic need
 
Habari wana JF

Nauza vifaaa vya kufanyia biashara ya chips pamoja na locationya kufanyia kazi kama ifuatavyo.

1. Kabati la aluminium ngazi 3
2. Jiko la gesi
3. Kalai
4. Jiko la kuchomea mishikaki
5. Jiko la kuweka malanda
6. Viti vya plastick
7. Mtungi una gesi kidogo yakuanzia

Vifaaa vingine ntampatia kama ofaa baada ya kufikia muafaka vifaa ivo kuna vyombo, mabeseni, sahani, flampen, mabeseni madogo, chujio ya mafuta, taaa kubwa, jalo kubwa, mfagio,ndoo ziko 5 , vifaaa viko kinondoni Manyanya.

Kwa maelezo nicheki PM.(0620297013)
 
Amin mkuu nipo pamoja na wewe bega kwa bega .kwa sisi vijana wapambanaji tubapopata fursa lengo letu kubwa linakua ni kufanya kitu ili kilete matokeo mazuri.
Ili katika project zijazo tupate shavu zaidi

Unapoona mtu mpigaji jua kuna mawili 1. Elimu chache
2. Malezi
Hongera Mkuu 🙏

Vijana wengi wanafeli kwenye uaminifu, na kwakukosa kwao uaminifu imepelekea washindwe kuaminika Kila mahali
 
Back
Top Bottom