Hali ya mjini hapa Dar es Salaam ni tofauti na nilivyofikiria

Hali ya mjini hapa Dar es Salaam ni tofauti na nilivyofikiria

Mods wengine wanajikuta Kina nani sijui!

Uzi huu title yake ya kwanza ndio imefanya mpaka ikafikisha hizi coments 400 ila mtu anaamua tu kubadilisha title.
Mods wamenikosea sana aiseee uzi unaitwa MJINI PAZITO wenyewe wameleta jina refu sijui wameagizwa
 
Nyimbo za taarabu alizoimba mama samia unazo nije unirushie
Zipo za mdogo ake mama samia anaitwa ashura mikausho na rahma machupa...

Mkuu hali ya mjini wee acha tuuu hapa natafuta sehemu nyingine niwe napiga hard work ya kupata hata ten per day pale library niwe naenda kufungua jioni kma kupumzika tuu
 
Huko kucheka kwako ndio kunakufanya uone biashara ngumu!!
Na utacheka sana….!!!!
Wee jamaa hayajakukuta.
Even kama ungekua wewe sizani kama ungechomoa mimi na wewe ukute mm ndo mgumu zaidi yako.

Maaana wewe kwa nyuzi zako tu inaonesha ni mtu wa kucheka cheka sana
 
Back
Top Bottom