Hali ya mjini hapa Dar es Salaam ni tofauti na nilivyofikiria

Wasalam Ndugu jamaa na marafiki.

Hali ya mjini hapa Dar es Salaam ni tofauti na nilivyofikiria nimeamini mjini pazito 🙌🙌🙌🙌.

Mjini pazito aiseee, yaani nilijua nikishapata biashara ndio nishamaliza kumbe bado kuna kusugua sana.

Mjini pazito nyie watu hawana huruma kabisa. Bora ningebaki mkoani huko.

Ila ngoja nikaze hivi hivi mpaka kieleweke kikubwa tunapata cha halali.

Kuna time unapitia hata hamu za wanawake unakuwa huna kabisa kutokana na ugumu wa life hapa Dasalamu.

Mjini pazito 🙌 🙌 🙌 🙌
😂😂
 
Mimi nilikimbia dar toka mwaka 1997 nikaja kanda ya ziwa mwaka wa 27 sasa
Wakati naondoka dar kilo moja ya nyama ilikuwa inauzwa shs1200 kuja kanda ya ziwa sh 500
Du haraka sana nikahamisha familia
Anyway ninachotaka kukushauri sio kwamba dar ni pabaya maana kuna mtu ukimuambia umuhamishe dar hakuelwi kwa upande wangu dar sitaki kukaa zaidi ya siku tano kama sina ramani labda kusalimia ndgu tu na kula bata na kupanda pipa na kurudi.

Dar ukiwa na ramani ni pazuri kama huna ramani ni pabaya kupita maelezo utaishi maisha ya kimasikini sana
Mikoani kuna unafuu kiasi flani mfano trafick jamu hakuna ukitaka kulima utalima dar bustani ya mchicha ni kipengele
kwa hivyo jipange vizuri ukiirudi kijijini unakwenda kufanya nini maana kule nako mzunguko wa hela ni mgumu kidogo
 
Mkuu nashukuru sana kwa ushauri wako.
Inaelekea ni mtu safi sana kwa maneno yako tuu unaweza kujua wewe ni mtu wa namna gani..

Mkuu kwa sasa kama kijana ambaye najitafuta kwa hapa dar ni sehemu sahihi kwangu...

Ila sasa likija suala la nimejipata nina source permanent ya kupata pesa hapo jicho langu lita focus moja kwa moja mikoani.
.ila kwa sasa acha nipambane maana nishatake risk
 
Screenshot_20240625-230437_1.jpg
 
Sema mkuu maisha haya haya bana.
Tunaishi mara moja ngoja tupambane tuu.
Zamani nilikua naona watu wa dar wana roho mbaya sana ila sasa kwa hali hii najiona na mimi naenda kuwa hivo
Na bado hali itazidi kuwa mbaya zaidi , Kwa hustlers na wajasiriamali wa kitaa tunaelewa unachomaanisha .
Mbinyo wa ugumu wa maisha si mchezo , ile ya kiburi cha shibe ya ugali na dagaa na kujiita " kisiwa cha amani " ,soon itaisha .
Kenya ni case study nzuri .
Watu wataingia street wenyewe kukichafua nakwambia
 
Ukiangalia mzunguko tu wa biashara ulivyo mdogo kitaa + Lundo la kodi ,hata biashara hazifanyiki kama zamani .
Ajira hamna .
Yaani ni downward spiral ya umasikini na lindi la dhiki
 
Na bado hali itazidi kuwa mbaya zaidi , Kwa hustlers na wajasiriamali wa kitaa tunaelewa unachomaanisha .
Mbinyo wa ugumu wa maisha si mchezo , ile ya kiburi cha shibe ya ugali na dagaa na kujiita " kisiwa cha amani " ,soon itaisha .
Kenya ni case study nzuri .
Watu wataingia street wenyewe kukichafua nakwambia
Mkuu wee acha tuu aiseeee
 
Back
Top Bottom