comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
Maisha ya mtanzania ni magumu kama jiwe mzeeBiashara ya chips mkuu mitaaa ya kinondoni Manyanya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maisha ya mtanzania ni magumu kama jiwe mzeeBiashara ya chips mkuu mitaaa ya kinondoni Manyanya
😂😂Wasalam Ndugu jamaa na marafiki.
Hali ya mjini hapa Dar es Salaam ni tofauti na nilivyofikiria nimeamini mjini pazito 🙌🙌🙌🙌.
Mjini pazito aiseee, yaani nilijua nikishapata biashara ndio nishamaliza kumbe bado kuna kusugua sana.
Mjini pazito nyie watu hawana huruma kabisa. Bora ningebaki mkoani huko.
Ila ngoja nikaze hivi hivi mpaka kieleweke kikubwa tunapata cha halali.
Kuna time unapitia hata hamu za wanawake unakuwa huna kabisa kutokana na ugumu wa life hapa Dasalamu.
Mjini pazito 🙌 🙌 🙌 🙌
Kijana usihonge mtajiHii haitojirudia tena na hata ikirudua badi jua lazima ataondoka na 4GB sio 32
🙏🙏🙏Shukrani mkuu, zetu dua
Ni magumu mnooo yaani mnooMaisha ya mtanzania ni magumu kama jiwe mzee
Usicheke mkuu...
Mkuu nimejifunza kitu sitokuja tena kufanya huu umamaKijana usihonge mtaji
Mimi nilikimbia dar toka mwaka 1997 nikaja kanda ya ziwa mwaka wa 27 sasaWasalam Ndugu jamaa na marafiki.
Hali ya mjini hapa Dar es Salaam ni tofauti na nilivyofikiria nimeamini mjini pazito 🙌🙌🙌🙌.
Mjini pazito aiseee, yaani nilijua nikishapata biashara ndio nishamaliza kumbe bado kuna kusugua sana.
Mjini pazito nyie watu hawana huruma kabisa. Bora ningebaki mkoani huko.
Ila ngoja nikaze hivi hivi mpaka kieleweke kikubwa tunapata cha halali.
Kuna time unapitia hata hamu za wanawake unakuwa huna kabisa kutokana na ugumu wa life hapa Dasalamu.
Mjini pazito 🙌 🙌 🙌 🙌
Mkuu nashukuru sana kwa ushauri wako.Mimi nilikimbia dar toka mwaka 1997 nikaja kanda ya ziwa mwaka wa 27 sasa
Wakati naondoka dar kilo moja ya nyama ilikuwa inauzwa shs1200 kuja kanda ya ziwa sh 500
Du haraka sana nikahamisha familia
Anyway ninachotaka kukushauri sio kwamba dar ni pabaya maana kuna mtu ukimuambia umuhamishe dar hakuelwi kwa upande wangu dar sitaki kukaa zaidi ya siku tano kama sina ramani labda kusalimia ndgu tu na kula bata na kupanda pipa na kurudi.
Dar ukiwa na ramani ni pazuri kama huna ramani ni pabaya kupita maelezo utaishi maisha ya kimasikini sana
Mikoani kuna unafuu kiasi flani mfano trafick jamu hakuna ukitaka kulima utalima dar bustani ya mchicha ni kipengele
kwa hivyo jipange vizuri ukiirudi kijijini unakwenda kufanya nini maana kule nako mzunguko wa hela ni mgumu kidogo
Hongera Mkuu Kwa kutia jitihada katika upambanajiGrahams Nina kipawa pia cha kufundisha naweza piga hata private teaching kama kuna watoto hapo nyumbani......
Sawa sawa mkuu.. hapo nimekuelewa sanaHongera Mkuu Kwa kutia jitihada katika upambanaji
Vijana wangu wanasoma japo Shule wanayosoma hairuhusu wasome tuition ama Masomo ya ziada isipokuwa holiday package zao tu
Sio umama ila sio misingi.Mkuu nimejifunza kitu sitokuja tena kufanya huu umama
Mkuu ujue nini .Sio umama ila sio misingi.
Na bado hali itazidi kuwa mbaya zaidi , Kwa hustlers na wajasiriamali wa kitaa tunaelewa unachomaanisha .Sema mkuu maisha haya haya bana.
Tunaishi mara moja ngoja tupambane tuu.
Zamani nilikua naona watu wa dar wana roho mbaya sana ila sasa kwa hali hii najiona na mimi naenda kuwa hivo
Mkuu wee acha tuu aiseeeeNa bado hali itazidi kuwa mbaya zaidi , Kwa hustlers na wajasiriamali wa kitaa tunaelewa unachomaanisha .
Mbinyo wa ugumu wa maisha si mchezo , ile ya kiburi cha shibe ya ugali na dagaa na kujiita " kisiwa cha amani " ,soon itaisha .
Kenya ni case study nzuri .
Watu wataingia street wenyewe kukichafua nakwambia
Yaaani hao TRA kila siku tunakimbizana nao mkuu hali ni TEte aiseeeUkiangalia mzunguko tu wa biashara ulivyo mdogo kitaa + Lundo la kodi ,hata biashara hazifanyiki kama zamani .
Ajira hamna .
Yaani ni downward spiral ya umasikini na lindi la dhiki