mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Hapana fanya utafiti aina ya biashara ya kuwateka wakazi husika wa eneo hilo lazima ujue wanapenda nini,si kila biashara inafaa kila eneo.Kweli mkuu wala sio uwongo....
Sema mi nipo sehemu hapa nemetega ki library ili nipate chochote kitu ila sasa naona kama wananchi wa hapa wanafanya life iwe ngumu sasa aahahah
Kwa dar umefungulia biashara mitaa ya wapiMkuu wewe una kitu aisee
Dah biashara blood siwezi kukataa inataka moyo Ila huo mji nauheshimu sana Mimi hapo zamani uliwahi kuniadhibu vibaya mno haukunionea huruma kuwa huyu ni wa kwetu Ila Mungu akanijalia nikafungukia mkoani basi hapo nakuja kuvimba nikiwaibia wanakijiji nakuja kuwavimbia mabinamu na wajomba wanabaki kusema nina hela kumbe nina kheri tuBlood huyo ndo usimguse kabisa aiseee..
Ujasoma tuu comment zake jamaa kapambana sana ukiona mchanganuo wake utamuonea huruma
Hali ya dar kipindi nipo mkoani walisema huku ajira kama zote.Kwani unapitia hali gani hebu funguka nielewe. Nia yako uninyime ajira wewe
Mi nafosi hapa mkuu najua mpaka ndni ya mwezi mmoja takua na title tayari tuseme inshaallah ahahahHapana fanya utafiti aina ya biashara ya kuwateka wakazi husika wa eneo hilo lazima ujue wanapenda nini,si kila biashara inafaa kila eneo.
Unaweza ukawalaumu na kuwaona nuksi kama hawakupendi kumbe shida ni aina ya biashara unayouza
Mkuu mjini hapa wee acha tuu..Dah biashara blood siwezi kukataa inataka moyo Ila huo mji nauheshimu sana Mimi hapo zamani uliwahi kuniadhibu vibaya mno haukunionea huruma kuwa huyu ni wa kwetu Ila Mungu akanijalia nikafungukia mkoani basi hapo nakuja kuvimba nikiwaibia wanakijiji nakuja kuwavimbia mabinamu na wajomba wanabaki kusema nina hela kumbe nina kheri tu
Mkuu ni huku gombo la ngotoKwa dar umefungulia biashara mitaa ya wapi
Inshaallah,hapo labda ili utoboe changanya biashara nyingi kwa pamoja utaanza kuona mabadilikoMi nafosi hapa mkuu najua mpaka ndni ya mwezi mmoja takua na title tayari tuseme inshaallah ahahah
Kuna aina fulani za biashara zina pesa ila wewe bado haujazigundua hebu tafuta wachaga wawili wa maeneo hayo kisha waulize hivi hapa nikitaka kutoboa niweke biashara gani watakupa michanganuoπMkuu ni huku gombo la ngoto
Biashara gani hiyo mkuu au duka la mangiMkuu sio kwamba nipo idle hapa nina biashara nafanya hapa ila sasa naona kabisa....
Daah mkuu hali ni ngumu mno
Mkuu ngoja nifanye hvo hapa niweke na hata juisi za kutengeneza na vinguo nguo...Inshaallah,hapo labda ili utoboe changanya biashara nyingi kwa pamoja utaanza kuona mabadiliko
Hapana ni duka la.kuuza na kukodisha muvi yaani libraryBiashara gani hiyo mkuu au duka la mangi
Cha kufanya urudi huko mkoani ulikotokaππHali ya dar kipindi nipo mkoani walisema huku ajira kama zote.
Pia kuna connection.
Nikapata na wana kabisa.
Ila nimetia timu kila.mdau anasema yupo bize.
Watu wa huku nimekuta ni wachoyo mtu anapika ugali kidogo.
Watu wanakula mara mbili kwa siku
Mambo ni mengi demi we acha yuu bora kupumua
Tajaribu mkuu maana hapa nikisema nianze na biashara nyingine ni sawa na kuanza tena zero alafu nikipiga hesabu na hv vifaaa aaaah mkuu unaweza kufa pureshaKuna aina fulani za biashara zina pesa ila wewe bado haujazigundua hebu tafuta wachaga wawili wa maeneo hayo kisha waulize hivi hapa nikitaka kutoboa niweke biashara gani watakupa michanganuoπ
Nilipotoka mbeya nilikua kusoma tuu mi hom kwetu ni mbagala mkuu..Cha kufanya urudi huko mkoani ulikotokaππ
sasa umeanza kunielewa nilichokuwa namaanishaMkuu ngoja nifanye hvo hapa niweke na hata juisi za kutengeneza na vinguo nguo...
Mpaka kieleweke mkuu huu mwaka umalizike nikiwa tayar na half of goals aiseer
ππππππTajaribu mkuu maana hapa nikisema nianze na biashara nyingine ni sawa na kuanza tena zero alafu nikipiga hesabu na hv vifaaa aaaah mkuu unaweza kufa puresha
Dah hebu weka sendo za dior za kiume au dawa za mbu nunua kwa jumlaHapana ni duka la.kuuza na kukodisha muvi yaani library
Nimekuelewa mkuu ngoja nifanye hvo mana msaada sio pesa tu ila hata mawazo yenye madini kama haya yanahitajikasasa umeanza kunielewa nilichokuwa namaanisha
Mjini pazito mkuu weeeeehππππππ