Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
- Thread starter
- #481
Nakaza nakza mkuu mpaka kieleweke hapa....Hongera dogo, pambana sio lama wale malofa wa kulalamika lalamika.
Yaani do or die aiseee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakaza nakza mkuu mpaka kieleweke hapa....Hongera dogo, pambana sio lama wale malofa wa kulalamika lalamika.
Daaah mkuu nina mengi ya kukuambia ila yote kwa yote shukrani sana kwa kuendelea kunipa moyo wa upambanaji na utafutaji..Kama wewe bado kijana bado una muda mwingi wa kupambana endelea kukaa hapo kama unaona kuna michongo mizuri. Uzuri wa dar mzunguko wa hela ni mkubwa sana sasa wewe pima maji kina chake kwanza mimi nime graduate mlimani miaka 32 iliyopita enzi zile tulikuwa na dhana kuwa mtu ukiwa na degree huwezi kwenda mikoani.
Kuna mikoa ambayo ilikuwa inaonekana ukienda huko hutoboi lakini leo hii waliofika kule pengine walikuta watu wamelaa wakajichukulia maviwanja sasa ni ma taita. Wachaga hapa ndipo wanapo wini
Sasa mdogo wangu usikate tamaa MUNGU wakati mwingine ili akupe kitu kizuri anakupitisha kwenye majaribu makubwa mno mwisho ndio anafungua milango yako Ona wana wa Israeli walivyoteseka kwa miaka 400 misri na safari ya kurudi kwao walitumia miaka 40 japo Israeli na Misri ni karibu mno.
Kuna mwanasayansi mmoja Albert Eistein alipata kusema mtu ambaye anaogopa kukosea akifanya jambo basi mtu huyo hajajaribu kitu chochote.
Mafanikio ya mtu huwa hayapimwi kwa alivyo vizuri kwa sawa ila ni kwa ni changamoto gani alizipitia na akapambana nazo akafanikiwa.
Nikupe mfano mtu aliyepata utajiri wa ghafla sana kwa ufisadi na akafanya mambo mazuri kiukweli huyo hajafanikiwa chochote aliyefanikiwa ni yule aliyeanzia chini kabisa na uelewe utajiri wa haraka ulio na mashaka unaporomoka kwa haraka sana maana sio halali.
Hivi unajua Bakhresa ameshawahi uza magazeti na pia ameshawahi uza ice cream kwenye baiskeli?
Hivi unajua marehemu Reginald Mengi kiwanda chake cha kwanza alikifungua na mke wake kutengeneza kalamu chini ya mti nyumbani kwake na mke wake wino walikuwa wanavuta kwa mdomo.Hizi kalamu tulizitumia tukiwa std7 mwaka 1978.
Hivi unajua tajiri warren Buffet Marekani ameshawahi kuuza magazeti?
Erick Shigongo nimeshawahi soma historia yake aliandika ameshawahi kulala kwenye ma benchi nje alivyoingia dar alikuwa na taaluma ya medical lakini kumbe mungu alijua ana talent ya Uandishi.
Ukikaza sana utapasuka..Nakaza nakza mkuu mpaka kieleweke hapa....
Yaani do or die aiseee
Hv huyu ndo yule mdada uliyenambiaga? 😎Alafu ni mdada wa chuo.
Akinichekea huwa nakosa confidence mkuu
Ahahaha acha kufufua makaburi mkuu mbona unatafuta hataree ahahahaHv huyu ndo yule mdada uliyenambiaga? 😎
Ila demu anaonyesha amekuelewa sana 😂Ahahaha acha kufufua makaburi mkuu mbona unatafuta hataree ahahaha
Dar nzuri Insta tu kwenye uhalisia asilimia kubwa ya watu ni njaa kali hasa wasaniiWasalam Ndugu jamaa na marafiki.
Hali ya mjini hapa Dar es Salaam ni tofauti na nilivyofikiria nimeamini mjini pazito 🙌🙌🙌🙌.
Mjini pazito aiseee, yaani nilijua nikishapata biashara ndio nishamaliza kumbe bado kuna kusugua sana.
Mjini pazito nyie watu hawana huruma kabisa. Bora ningebaki mkoani huko.
Ila ngoja nikaze hivi hivi mpaka kieleweke kikubwa tunapata cha halali.
Kuna time unapitia hata hamu za wanawake unakuwa huna kabisa kutokana na ugumu wa life hapa Dasalamu.
Mjini pazito 🙌 🙌 🙌 🙌
Mkuu acha kuninafikia bana ahahahahahaIla demu anaonyesha amekuelewa sana 😂
Ahahahhaa usanii mwingi watu wana njaa huku mkuu wee acha tuuu...Dar nzuri Insta tu kwenye uhalisia asilimia kubwa ya watu ni njaa kali hasa wasanii