SSEKK The Literally
JF-Expert Member
- Sep 5, 2023
- 1,134
- 1,905
Dodoma ni wingu tu everyday but no rain
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
@Lamomy
Kumbe inatesa hiviii[emoji1787]..wapi hapa?
DSMWapi Dom??
Kabla Mama Samia kuwa Rais,mvua zilikuwa hazinyeshi?Mh! Siyo ujio wa mwanamke katika kuwatawala wanaume ndiyo tunachapwa kiboko na mwenyeaaaazi Mungu , subhanallah wa tala
Nipo hapa karibia na makutiNiko hapa utumishi kweli inanyesha. Uko mitaa gani wana jf tusalimiane live?
Nikweli huku tope ndo kwenyewe barabara za hovyotopeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, nilikimbia huko nikauza kila kitu miaka kama 10 iliyopita kwa sababu ya tope. gari unaliacha Pembe... 😀 😀 😀
Sahihisho.Huyu JAMAA ATAKUWA ANakaa Tanga Leo niko Tanga Mvua inatandika kama nini Tangu Asubuhi..
Na nimeambiwa hapa kuna wiki zilizopita ilipiga siku tatu bila kupumzika
Unajifanyaga mjanja kumbe unakaa Pangani, mchawi mkubwa weBasi mvua naona imetulia kidogo.......pangani hakuendeki, all is mud, mud mud.... can't move.....
Mkuu ingekuwa Vyema kama Ungejifuza maana Ya Dialect na matumizi yake nafikiri Kama ungekuwa unajua usingehta poteza muda kucoments hapa l!Sahihisho.
Mvua haipigi
Mvua inanyesha.
Asante
sasa la uchawi limetoka wapi? matusi ya nini?? futa hilo neno la uchawiUnajifanyaga mjanja kumbe unakaa Pangani, mchawi mkubwa we