Hali ya mvua kwenu ikoje?

Hali ya mvua kwenu ikoje?

It is raining cats and dogs now at4:41 PM
 
Mh! Siyo ujio wa mwanamke katika kuwatawala wanaume ndiyo tunachapwa kiboko na mwenyeaaaazi Mungu , subhanallah wa tala
Kabla Mama Samia kuwa Rais,mvua zilikuwa hazinyeshi?
DSM maji yalikuwa hayajai?

Wapinzani mmeanza kupata wazimu sasa!.
 
topeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, nilikimbia huko nikauza kila kitu miaka kama 10 iliyopita kwa sababu ya tope. gari unaliacha Pembe... 😀 😀 😀
Nikweli huku tope ndo kwenyewe barabara za hovyo
 
Huku hamna kitu nasubiri saa 8 usiku wachawi warushe mchanga juu ya bati
 
Back
Top Bottom