Hali ya Simba SC ni mbaya sana, Mo Dewji anatapeliwa! Mashabiki tuchukue hatua

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
Ni wazi kwamba Mo Dewji anapigwa hela zake na matapeli yaliyomzunguka. Mazee ya ten percent yameokota wachezaji feki huko nje kwa kushirikiana na mzungu wanadai wanawafanyia majaribio yanawapa waandishi njaa vi laki mbili mbili kupamba kwenye magazeti kwamba majembe yameingia bongo

Kuna mwingine yeye anaropokaropoka hadi imemsaidia kupata vijisenti,kupata ubalozi wa kampuni,kuhama toka uswahilini hadi mikocheni,kuwa staa nchi nzima na kutudanganya kwamba Clatous Chama ni mmoja wapo ya wachezaji bora 11 duniani

Kuna wachezaji juzi walienda club one day before disastrous perfomance na Bandari, alikuwa Niyonzima, Wawa, Mo Ibrahim, Dilunga na Mkude. Hakuna wa kusimamia nidhamu tena Simba kila mtu anawaza kupiga hela za Mo Dewji

Team hadi leo haina kocha masaidizi kuna kocha sijui wa viungo huwa anawaweka kwenye vitaulo vile wanalala utadhani kama James Delicious

Wachezaji wanacheza wamelegea kweli halafu hawana spirit ya kupambana,hovyo kabisa,lazy bastards,wafanyakazi hewa

Cha kufanya sasa kama kile kikundi kidogo kilichozomea juzi baada ya mechi ya Bandari inabidi kesho kuishangilia Mbao kwa nguvu na kumpuuza albino maana yeye anachojali sasa hivi ni lotion yake,pafyumu na birthday yake kwa kifupi anafurahia brand yake

******
Namuonea huruma sana Mo Dewji ,vision yako kuhusu Simba haitafanikiwa kwa squad hii,hawana passion hawana nidhamu,takataka ...Nimepoteza matumaini nafikiri mechi ya Ismailia tutakula goals 10.
 
Simba kupoteza muda mwingi kujinyoosha kwenye Vitaulo matokeo yake ni kuwa fanya wachezaji wawe legelege zaidi na zaidi.
Wenzao wanatumia muda mwingi kufanya mazoezi ya
Kucheza kwa kasi
Kupiga na kufunga mipira ya kona na adhabu.
Kuzuia mashambulizi ya kona na adhabu.
Kutofanya rafu kalibu na goli,
Kukaba mipira ya juu na chini,
Kufunga
Kuzuia
Kushambulia kwa kasi
NK
Simba wakimaliza kujinyoosha kwenye vitaulo kocha mkuu anawapa mazoezi ya kuweka mtu kati na vipasipasi visivyo na malengo.
Hakuna mazoezi maalum ya mabeki na washambuliaji.
Kwa ujumla tatizo la Simba linaanza kwenye aina ya mazoezi wanayopewa na Kocha.
Mazoezi ya Kifadhafadha, mabeki wazito, washambukiaji wazito kila mtu ni mzito.

Mazoezi ya Simba yamegeuka kuwa Mazoezi ya Viungo na sio mazoezi ya Mpira wa miguu.

Kwa mtindo huu, pamoja na mfumo wa uwekezaji Simba haipati hata kombe moja mwaka huu.
Mwakani watakuwa watazamaji tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NI WAZI KWAMBA MO DEWJI ANAPIGWA HELA ZAKE NA MATAPELI YALIYOMZUNGUKA.MAZEE YA TEN PERCENT YAMEOKOTA WACHEZAJI FEKI HUKO NJE KWA KUSHIRIKIANA NA MZUNGU WANADAI WANAWAFANYIA MAJARIBIO YANAWAPA WAANDISHI NJAA VI LAKI MBILI MBILI KUPAMBA KWENYE MAGAZETI KWAMBA MAJEMBE YAMEINGIA BONGO
KUNA MWINGINE YEYE ANAROPOKAROPOKA HADI IMEMSAIDIA KUPATA VIJISENTI,KUPATA UBALOZI WA KAMPUNI,KUHAMA TOKA USWAHILINI HADI MIKOCHENI,KUWA STAA NCHI NZIMA NA KUTUDANGANYA KWAMBA CLATOUS CHAMA NI MMOJAWAPO YA WACHEZAJI BORA 11 DUNIANI
KUNA WACHEZAJI JUZI WALIENDA CLUB ONE DAY BEFORE DISASTROUS PERFOMANCE NA BANDARI,ALIKUA NIYONZIMA,WAWA,MO IBRAHIM,DILUNGA NA MKUDE.HAKUNA WA KUSIMAMIA NIDHAMU TENA SIMBA KILA MTU ANAWAZA KUPIGA HELA ZA MO
TEAM HADI LEO HAINA KOCHA MASAIDIZI KUNA KOCHA SIJUI WA VIUNGO HUWA ANAWAWEKA KWENYE VITAULO VILE WANALALA UTADHANI KAMA JAMES DELICIOUS
WACHEZAJI WANACHEZA WAMELEGEA KWELI HALAFU HAWANA SPIRIT YA KUPAMBANA,HOVYO KABISA,LAZY BASTARDS,WAFANYAKAZI HEWA
CHA KUFANYA SASA KAMA KILE KIKUNDI KIDOGO KILICHOZOMEA JUZI BAADA YA MECHI YA BANDARI INABIDI KESHO KUISHANGILIA MBAO KWA NGUVU NA KUMPUUZA ALBINO MAANA YEYE ANACHOJALI SASA HIVI NI LOTION YAKE,PAFYUMU NA BIRTHDAY YAKE KWA KIFUPI ANAFURAHIA BRAND YAKE
******NAMUONEA HURUMA SANA MOHAMED DEWJI,VISION YAKO KUHUSU SIMBA HAITAFANIKIWA KWA SQUAD HII,HAWANA PASSION HAWANA NIDHAMU,TAKATAKA ...NIMEPOTEZA MATUMAINI NAFIKIRI MECHI YA ISMAILIA TUTAKULA GOALS 10.
Kiongozi punguza jazba na hasira, hayo yote yamekuja baada ya Simba kufungwa? Mbona timu inapofanya vizuri haya hatyaoni? Kumbuka mpira ni mchezo wa makosa, kosa moja mwenzio analitumia kama mtaji, na matokeo yake yanaeleweka, kufungwa, kufunga au kudraw, hivyo tuwe na utamaduni was kukubaliana na matokeo, tukubali changamoto ndiyo tutaendelea kisoka. Hakuna timu dumiani ambayo kwake kufungwa ni mwiko.
 
WALIPIGWA 5 -0 NA VITA HATUKULALAMIKA.ATLEAST WALIONYESHA KUPAMBANA ILA HII YA BANDARI HAPANA NA SIYO MARA YA KWANZA,HAWAKABI,HAWAJUI KUPIGA FREE KICKS WALA KONA,HAWACHEZI KAMA TEAM KUBWA WAPO SLOW MNO HATA MASHUJAA YA KIGOMA WALIPOAMUA KU PRESS SIKU ILE NA KUPITA KATIKATI WANAPITIKA VIZURI TU SABABU NI MAYAIMAYAI NA HAWANA PASSION WANAPOCHEZA..HALAFU WACHEZAJI 8 WANATOROKA KAMBINI SIKU MOJA KABLA YA MECHI WANENDA KULEWA NA KU SEX NA MACHANGUDOA NA HAKUNA HATUA ILIYOCHUKULIWA NA KESHO YAKE WANAPANGWA KUNA U-SERIOUS HAPO TENA?
 
Lakini ilipowatoa Mbabane Swallow na Nkana fc na kisha kuibugiza Js Soura magoli matatu kwa mtungi, haikuonekana hayo mapungufu zaidi ya mashabiki kujiona wana bonge la timu inayoweza kumfunga timu yeyote ile Africa. Na baadhi ya washabiki humu humu JF wakakili ya kwamba As Vital na Al Ahyl wanapigika huko huko kwao kwavile tu wameona wana viwango vya kawaida sana kulinganisha na Simba; hii kauli ilikuja baada ya kuangalia mechi kati ya Al Ahyl vs As Vital.

Faraja ya maneno yakaongezeka zaidi baada ya kitendo cha Al Ahyl kutoa sare na JS Soura, ndipo dharau ikazidi kuongezeka kujiona Simba imekamilika kila idara zaidi ya wapinzani wao wote wa kwenye kundi lao. Timu ya Simba imekuwa mbovu baada ya kufungwa magoli matano na As Vital na Bandari? au tokea awali? kama tokea awali, kwanini hakuyasemwa haya yote kabla au ilionekana timu imekamilika kwavile timu ilikua matokeo? Je zile tambo zilizokuwa zinatolewa kipindi mnapata matokeo ya kwamba Simba ina kikosi kipana, Simba inaweza cheza na timu yeyote ile, Simba hii hakuna timu ya kumtisha kwa Africa, je wale wachezaji waliofanya washabiki wa Simba wavimbe kichwa wameuzwa?

SIMBA TUMEKUWA TUKILALAMIKA DEFENCE MUDA MREFU ,YES KIUKWELI TULI HYPE SANA KUFIKA HATUA YA MAKUNDI ILA KUNA ISHU HATA KOCHA WA NKANA WA VITA NA HASSAN KESSY WALISEMA KUHUSU SIMBA HAKIFANYIWI KAZI.THEY ARE LAZY NA HALI INAZIDI KUWA MBAYA,WACHEZAJI 8 WANAENDA CLUB NA KUFANYA NGONO SIKU MOJA KABLA YA MECHI YA BANDARI NA HAKUNA HATUA YOYOTE ILIYOCHUKULIWA NA BADO WANAPANGWA?HAWATAKI KUJITUMA KABISA UWANJANI, NAHISI WENGI NI MACHOKO WAMELEGEA KAMA MLENDA.PIA WANAOKUJA SIMBA WAKIWA SERIOUS BAADA YA MUDA NAO WANAKUWA MASIHARA KAMA CLATOUS CHAMA KWA SASA AMEKUWA MTU WA MASIHARA NA KUCHUKULIA POA SABABU NDIYO MFUMO ULIOPO.KILA KITU POAPOA TU ALI MRADI WANAKULA HELA ZA MO DEWJI BUREBURE.
 
NI WAZI KWAMBA MO DEWJI ANAPIGWA HELA ZAKE NA MATAPELI YALIYOMZUNGUKA.MAZEE YA TEN PERCENT YAMEOKOTA WACHEZAJI FEKI HUKO NJE KWA KUSHIRIKIANA NA MZUNGU WANADAI WANAWAFANYIA MAJARIBIO YANAWAPA WAANDISHI NJAA VI LAKI MBILI MBILI KUPAMBA KWENYE MAGAZETI KWAMBA MAJEMBE YAMEINGIA BONGO
KUNA MWINGINE YEYE ANAROPOKAROPOKA HADI IMEMSAIDIA KUPATA VIJISENTI,KUPATA UBALOZI WA KAMPUNI,KUHAMA TOKA USWAHILINI HADI MIKOCHENI,KUWA STAA NCHI NZIMA NA KUTUDANGANYA KWAMBA CLATOUS CHAMA NI MMOJAWAPO YA WACHEZAJI BORA 11 DUNIANI
KUNA WACHEZAJI JUZI WALIENDA CLUB ONE DAY BEFORE DISASTROUS PERFOMANCE NA BANDARI,ALIKUA NIYONZIMA,WAWA,MO IBRAHIM,DILUNGA NA MKUDE.HAKUNA WA KUSIMAMIA NIDHAMU TENA SIMBA KILA MTU ANAWAZA KUPIGA HELA ZA MO
TEAM HADI LEO HAINA KOCHA MASAIDIZI KUNA KOCHA SIJUI WA VIUNGO HUWA ANAWAWEKA KWENYE VITAULO VILE WANALALA UTADHANI KAMA JAMES DELICIOUS
WACHEZAJI WANACHEZA WAMELEGEA KWELI HALAFU HAWANA SPIRIT YA KUPAMBANA,HOVYO KABISA,LAZY BASTARDS,WAFANYAKAZI HEWA
CHA KUFANYA SASA KAMA KILE KIKUNDI KIDOGO KILICHOZOMEA JUZI BAADA YA MECHI YA BANDARI INABIDI KESHO KUISHANGILIA MBAO KWA NGUVU NA KUMPUUZA ALBINO MAANA YEYE ANACHOJALI SASA HIVI NI LOTION YAKE,PAFYUMU NA BIRTHDAY YAKE KWA KIFUPI ANAFURAHIA BRAND YAKE
******NAMUONEA HURUMA SANA MOHAMED DEWJI,VISION YAKO KUHUSU SIMBA HAITAFANIKIWA KWA SQUAD HII,HAWANA PASSION HAWANA NIDHAMU,TAKATAKA ...NIMEPOTEZA MATUMAINI NAFIKIRI MECHI YA ISMAILIA TUTAKULA GOALS 10.
Ismailia mtacheza nao hapa katikati au baada ya kucheza na Al Ahly!?
 
cha kushangaza hakuna statement ya kusema wamechukuliwa hatua gani hadi sasa.sanasana bado wanapangwa kwenye mechi hadi leo.Team haina nidhamu ,bora yanga isiyo na hela inapambana kiume uwanjani hata juzi zile ngumi ni walikuwa wanafosi mpira urudishwe kati haraka wasawazishe ,simba wanatamani dakika tisini ziishe wakanywe bia na kulala na machangudoa ,hela zinawawasha,wanamuharibu hadi clatous chama keshakuwa mchezaji asiye serious kakuta culture ya kipuuzi HAKUNA NIDHAMU,anajituma kagere tuuuuuu.
Kweli mkuu yaani kona inapigwa manula anaacha goli anaenda kuicheza kona mabeki yamesimama tuu #japomieyanga
 
Na hata mechi ya Simba vs Mashujaa wacheza wa Simba karibu wote walilewa na kushindwa kucheza. Waliishia kulala kwenye magari tu. Hata Chama aliyeingia kipindi cha pili alikuwa amelewa. Kwa hiyo alicheza na pombe kichwani!!

Sent using Jamii Forums mobile app
MY GOD, INAWEZEKANA LAKINI, KWELI???
 
Na hata mechi ya Simba vs Mashujaa wacheza wa Simba karibu wote walilewa na kushindwa kucheza. Waliishia kulala kwenye magari tu. Hata Chama aliyeingia kipindi cha pili alikuwa amelewa. Kwa hiyo alicheza na pombe kichwani!!

Sent using Jamii Forums mobile app
NAAMBIWA USIKU WA KUAMKIA HIYO MECHI YA BANDARI MUZAMIRU ALIKUWA HOI HATA ALIVYOPARAMIA MTU NA KUVUNJIKA NA KUSABABISHA PENATI NI SAWA TU. HAKUNA NIDHAMU TENA KWENYE HII TEAM. KWISHA KABISA
 
Back
Top Bottom