nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Ni wazi kwamba Mo Dewji anapigwa hela zake na matapeli yaliyomzunguka. Mazee ya ten percent yameokota wachezaji feki huko nje kwa kushirikiana na mzungu wanadai wanawafanyia majaribio yanawapa waandishi njaa vi laki mbili mbili kupamba kwenye magazeti kwamba majembe yameingia bongo
Kuna mwingine yeye anaropokaropoka hadi imemsaidia kupata vijisenti,kupata ubalozi wa kampuni,kuhama toka uswahilini hadi mikocheni,kuwa staa nchi nzima na kutudanganya kwamba Clatous Chama ni mmoja wapo ya wachezaji bora 11 duniani
Kuna wachezaji juzi walienda club one day before disastrous perfomance na Bandari, alikuwa Niyonzima, Wawa, Mo Ibrahim, Dilunga na Mkude. Hakuna wa kusimamia nidhamu tena Simba kila mtu anawaza kupiga hela za Mo Dewji
Team hadi leo haina kocha masaidizi kuna kocha sijui wa viungo huwa anawaweka kwenye vitaulo vile wanalala utadhani kama James Delicious
Wachezaji wanacheza wamelegea kweli halafu hawana spirit ya kupambana,hovyo kabisa,lazy bastards,wafanyakazi hewa
Cha kufanya sasa kama kile kikundi kidogo kilichozomea juzi baada ya mechi ya Bandari inabidi kesho kuishangilia Mbao kwa nguvu na kumpuuza albino maana yeye anachojali sasa hivi ni lotion yake,pafyumu na birthday yake kwa kifupi anafurahia brand yake
******
Namuonea huruma sana Mo Dewji ,vision yako kuhusu Simba haitafanikiwa kwa squad hii,hawana passion hawana nidhamu,takataka ...Nimepoteza matumaini nafikiri mechi ya Ismailia tutakula goals 10.