Ni kweli alikua mwamba wa vitu vingi,naona Kairuki kimyaa hasikiki kabisa baada ya kifo cha huyu unaemuita mwambaKwa John Pombe Magufuli kila ulimi utakiri kuwa yule alikuwa mwamba wa vitu vingi
Kwa John Pombe Magufuli kila ulimi utakiri kuwa yule alikuwa mwamba wa vitu vingi
Ni ukweli huwezi kuchekeana na hawa majambazi na vibaka.unahitajika ukatili na unyama kumalizana na hao watu...hakuna demokrasia kwa mpumbavu...
AgreeKwa John Pombe Magufuli kila ulimi utakiri kuwa yule alikuwa mwamba wa vitu vingi
Kwa John Pombe Magufuli kila ulimi utakiri kuwa yule alikuwa mwamba wa vitu vingi
Mbona umeshajijibu sasa?Anasifiwa Magufuli as if yeye ndo alikuwa IGP..kwani IGP bado si Sirro?..kilichobadilika ni nn?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye hili jamaaa hawakuwachekea hawa vibakaAnasifiwa Magufuli as if yeye ndo alikuwa IGP..kwani IGP bado si Sirro?..kilichobadilika ni nn?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli Mkuu, hawa watu sio wazuri kabisa mtu umepambana miaka mingi kupata mali zako halafu yeye anakuja kuchukua kirahisi tu, hii haiwezekani ni lazima kuwe na sheria kali ili kudhibiti ujambazi, anayekamatwa kwenye tukio on the spot apigwe chuma, hapo hakuna kuangalia human rights kwa sababu hata yeye akikuuwa hizo human rights haziangaliwi. Tuwe kama Rwanda, mimi nilibahatika kwenda huko nilikaa kwa kipindi cha mwezi mmoja hata siku moja sikuwahi kusikia habari ya ujambazi eti mtu sijui mtu kaporwa, au matukio ya wizi wa mgari never, vyombo vya ulinzi na usalama viko committed, muda wote Polisi wako barabarani na kwenye mitaa kuhakikisha raia na mali zao wako salama. Rwanda Bank hazifungwi, hata usiku ukienda unahudumiwa kama kawaida.Ni kuweka tu Sheria kali anayeuwa kwa upanga naye hakuna kumpetipeti ni kummaliza chap.Asiishie tu kuteua na kutengua...atoe amri mmoja mchana kweupe... Hawa wapumbavu wafe haijalishi umemkamata mwenye tukio au la, akishakuwa jambazi tu halali yetu anapotezwa halafu uone baada ya hii operation...mwezi tu kama utasikia ujambazi mitaani huko..
Anasifiwa Magufuli as if yeye ndo alikuwa IGP..kwani IGP bado si Sirro?..kilichobadilika ni nn?
Sent using Jamii Forums mobile app
IGP hajui majukumu yake hadi apewe amri na kiongozi mkuu..Taifa gani sasa hili la kumtegemea rais..wtf??Amebadirika mtoa amri na kiranja mkuu...
Yeye ndo alikuwa IGP?Kwenye hili jamaaa hawakuwachekea hawa vibaka
IGP hajui majukumu yake hadi apewe amri na kiongozi mkuu..Taifa gani sasa hili la kumtegemea rais..wtf??
Ina maana hata Magufuli alishindwa kutengeneza system zinazoweza kujiendesha zenyewe vizuri bila kupewa amri..
Ina maana hadi madaktari hospitalini ili wafanye upasuaji ilibidi Magufuli ndo atoe amri?
Sent using Jamii Forums mobile app
Siro kasahau majukumu yake anadili na mbowe badala ya vibakaWahalifu wamerudi mno
1. Vibaka hasahasa wakata nondo/wapuliza dawa za usingizi
2. Majambazi wa kutumia bunduki
3. Wezi wa magari
4. Wezi wa vifaa vya magari
5. Wezi wa pikipiki
Hao wamerudi kwa kasi mno
Hakuna cha uprimitive wala nini..haiwezekani IGP,Waziri wa mambo ya ndani na vijana wao wasijue majukumu yao ya msingi..If so naconclude kuwa sisi Watanzania ni wapumbavhu..Tambua Tanzania ni nchi Changa saaana huwezi kutumia miaka 10 kujenga hiyo system, Hata huko USA wametumia miaka kedekede kufika hapo walipo....wakati system inajengwa kwa hiyo miaka 200 lazima tuwe na utaratibu utakaofit jamii tuliyonayo...
Tambua Africa na Tanzania bado iko primitive stage ambayo inahitaji system tofauti kabisa ya kiutawala ili kufika pahala unapoita system..
Bado tuku stage ya unyapara na mijeledi ili mwanadamu aache upumbuvu na kuwa mwelevu baada ya hapo vizazi vijavyo vinafuata tu...
Anafanya mobile money halafu anakua na cash nyingi hivyo?Kwa sasa hali ni ngumu sana mtaani kiusalama hasa sisi wafanyabiashara hali ni tete.
Juzi mwenzetu anaeyejihusisha na Mobile money Transction amenusirika kuuawa baada ya kukwepa risasi iliyoelekezwa kwenye paji lake la uso na kwa bahati nzuri ikampata maeneo ya mkononi na paja lake la kushoto na majambazi wakafanikiwa kuondoka na zaidi ya milioni 30.
Nini kimebadilika sasa mpaka hawa jamaa wamerudi kwa kasi hivi? Pamoja kwamba nilikuwa siafikiani na sera za Magufuli za kikatili lakini hawa majambazi walikuwa hawafurukuti na kusikika kipindi chake.
Sasa ni kama Waziri wa Mambo ya Ndani na IGP Simon Sirro wameamua kushirikiana na majambazi ama MAJAMBAZI ni polisi wenyewe sasa wameona uwanja uko wazi wameamua kurudi ulingoni.
Haiwezekani matukio yaliyokuwa yamepotea sasa yanarudi kwa kasi
Hii inahitaji kiongozi mkali kwanza.. bila hivo haiwezekanKweli Mkuu, hawa watu sio wazuri kabisa mtu umepambana miaka mingi kupata mali zako halafu yeye anakuja kuchukua kirahisi tu, hii haiwezekani ni lazima kuwe na sheria kali ili kudhibiti ujambazi, anayekamatwa kwenye tukio on the spot apigwe chuma, hapo hakuna kuangalia human rights kwa sababu hata yeye akikuuwa hizo human rights haziangaliwi. Tuwe kama Rwanda, mimi nilibahatika kwenda huko nilikaa kwa kipindi cha mwezi mmoja hata siku moja sikuwahi kusikia habari ya ujambazi eti mtu sijui mtu kaporwa, au matukio ya wizi wa mgari never, vyombo vya ulinzi na usalama viko committed, muda wote Polisi wako barabarani na kwenye mitaa kuhakikisha raia na mali zao wako salama. Rwanda Bank hazifungwi, hata usiku ukienda unahudumiwa kama kawaida.Ni kuweka tu Sheria kali anayeuwa kwa upanga naye hakuna kumpetipeti ni kummaliza chap.
Hakuna cha uprimitive wala nini..haiwezekani IGP,Waziri wa mambo ya ndani na vijana wao wasijue majukumu yao ya msingi..If so naconclude kuwa sisi Watanzania ni wapumbavhu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo mobile money ni sehemu tu ya biashara zakeAnafanya mobile money halafu anakua na cash nyingi hivyo?