Kweli Mkuu, hawa watu sio wazuri kabisa mtu umepambana miaka mingi kupata mali zako halafu yeye anakuja kuchukua kirahisi tu, hii haiwezekani ni lazima kuwe na sheria kali ili kudhibiti ujambazi, anayekamatwa kwenye tukio on the spot apigwe chuma, hapo hakuna kuangalia human rights kwa sababu hata yeye akikuuwa hizo human rights haziangaliwi. Tuwe kama Rwanda, mimi nilibahatika kwenda huko nilikaa kwa kipindi cha mwezi mmoja hata siku moja sikuwahi kusikia habari ya ujambazi eti mtu sijui mtu kaporwa, au matukio ya wizi wa mgari never, vyombo vya ulinzi na usalama viko committed, muda wote Polisi wako barabarani na kwenye mitaa kuhakikisha raia na mali zao wako salama. Rwanda Bank hazifungwi, hata usiku ukienda unahudumiwa kama kawaida.Ni kuweka tu Sheria kali anayeuwa kwa upanga naye hakuna kumpetipeti ni kummaliza chap.