Tatizo la vibaka humalizwa na raia wenyewe,polisi hawana uwezo wa kupambana na vibaka
Washa shindwa sasa, lkn uniambie utengeneze systems zinazo jiendesha wenyewe kwa sisi ngozi nyeusi, hili jambo haliwezekani. Kikwete mmoja wa watu alikuwa anaamini sana katika watu alio wachagua ila mwisho wa siku walimwangusha kwani hakuwa mkali wala mfuatiliaji. Alicho amini aliye mchagua anayajua majukumu yake mwisho wa siku wa kamuangusha.Wasiachwe..lakini jukumu lao ya msingi inabidi walitimize kwa kiasi fulani kikubwa bila kufuatiliwa fatiliwa kila siku..
Sent using Jamii Forums mobile app
So,Magufuli alikuwa anawasimamia vipi hawa watu hadi wa ngazi ya chini mtaani?Washa shindwa sasa, lkn uniambie utengeneze systems zinazo jiendesha wenyewe kwa sisi ngozi nyeusi, hili jambo haliwezekani. Kikwete mmoja wa watu alikuwa anaamini sana katika watu alio wachagua ila mwisho wa siku walimwangusha kwani hakuwa mkali wala mfuatiliaji. Alicho amini aliye mchagua anayajua majukumu yake mwisho wa siku wa kamuangusha.
Enzi ya Kikwete niliishi mtaa ambao watoto watatu wa O level mapusha, Kulikuwa madon wanne wakubwa wauza unga, tena mmoja mizigo alikuwa analetewa na Wapakstani,kwa tuharibia wana watatu wa kitaa sasa hivi wote mateja magari yamewaka.
Ile baa ya KB (kwa watu wa Tabata wanaifahamu),ukiwa unarudi kupitia njia ya Ubayaubaya lazima ukabwe, ila tokea aingie Magu wale Madon sijui wamepotelea wapi, wale madogo nao sijui wapo wapi ila mmoja nasikia yupo Moro na biashara ya kuuza bange kaacha.
Siku hizi ile njia ya Ubayaubaya unapita bila, ila siku tunapo elekea tutarudi kule kule.
Niliyemnukuu kaorodhesha vibakaWee sisi tunaongelea majambazi, yenye silaha, ww unaongelea vibaka.
Jibu Simple alikuwa mfuatiliaji, anakupa cheo na anakufuatilia, sisi ngozi nyeusi mwengi wetu hatujui kujisimamia na sio hatujui ila mara nyingi uvivu wetu na tamaa zetu ndizo zinazo haribu kazi tunazopewa na kuaminiwa.So,Magufuli alikuwa anawasimamia vipi hawa watu hadi wa ngazi ya chini mtaani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa John Pombe Magufuli kila ulimi utakiri kuwa yule alikuwa mwamba wa vitu vingi
Kwa John Pombe Magufuli kila ulimi utakiri kuwa yule alikuwa mwamba wa vitu vingi
Polisi hawa hawa wanaofanya kazi kimazoea pasipo kufuata PGO, polisi vilaza kuliko majeshi yote ya ulinzi na usalama. Ndio maana wengi wao wakistaafu wanakufa maskini kwa sababu ya utapeli na uonevu dhidi ya watanzania.Hizo ni biashara za mapolisi wenyewe
Lakini raisi anamteua IGP tu then IGP ndo anawateuwa hao MaRPC..kwanini tusiwe na IGP kama huyo Magufuli ili tuwe na guarantee ya vitu kwenda maana ndo mwenye direct command inayoeleweka kirahisi kwa hawa MaRPC??..Jibu Simple alikuwa mfuatiliaji, anakupa cheo na anakufuatilia, sisi ngozi nyeusi mwengi wetu hatujui kujisimamia na sio hatujui ila mara nyingi uvivu wetu na tamaa zetu ndizo zinazo haribu kazi tunazopewa na kuaminiwa.
Ni kuisaidia ccm kuiba kuraHakuna cha uprimitive wala nini..haiwezekani IGP,Waziri wa mambo ya ndani na vijana wao wasijue majukumu yao ya msingi..If so naconclude kuwa sisi Watanzania ni wapumbavhu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa katili na asiyependa kushauriwa , hawezi kuwa shujaa wa kila mtu bali the few blessed kwenye utawala wakeKwa John Pombe Magufuli kila ulimi utakiri kuwa yule alikuwa mwamba wa vitu vingi
Kwa John Pombe Magufuli kila ulimi utakiri kuwa yule alikuwa mwamba wa vitu vingi
Sasa hapo ni swala anaye teua mwenyewe na wale wanao mletea mafaili ya watu wenye sifa za kuwa maIGP na inawezekana wakawepo ili ndio hivyo nchi yetu inaumwa ugonjwa unao itwa connection.Lakini raisi anamteua IGP tu then IGP ndo anawateuwa hao MaRPC..kwanini tusiwe na IGP kama huyo Magufuli ili tuwe na guarantee ya vitu kwenda maana ndo mwenye direct command inayoeleweka kirahisi kwa hawa MaRPC??..
Sent using Jamii Forums mobile app
So,Magufuli alikuwa anawasimamia vipi hawa watu hadi wa ngazi ya chini mtaani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Vijiwe vya wavuta Bangi ndio mazalia ya uhalifu wa aina zote;Bangi inahusiana vipi hapo ndugu, kila kiotacho kila msimu inakuwaje wewe unakihukumu?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kwahiyo yeye ndio alikuwa anabeba bunduki kuwasaka hao majambazi na kwa vile amekufa sasa hakuna mtu mwingine au sio.Hapewi sifa bali BEFORE and AFTER ndizo zinazo mpa sifa.
Yeye ndiye aliyekuwa akilisimamia jeshi la polisi na polisi wakawa watekelezaji.Kwahiyo yeye ndio alikuwa anabeba bunduki kuwasaka hao majambazi na kwa vile amekufa sasa hakuna mtu mwingine au sio.
Alikuwa IGP au DCI?Yeye ndiye aliyekuwa akilisimamia jeshi la polisi na polisi wakawa watekelezaji.
Swala la kuna au hamna mtu hilo ni swala la wanaoteua, sisi tunacho angalia hali ya sasa na ya Zamani then tunafanya comparison.