Hali ya Uhalifu mtaani kwa sasa inatisha. Waziri Mambo ya Ndani na Sirro mmeamua kushirikiana na majambazi?

Hali ya Uhalifu mtaani kwa sasa inatisha. Waziri Mambo ya Ndani na Sirro mmeamua kushirikiana na majambazi?

Wasiachwe..lakini jukumu lao ya msingi inabidi walitimize kwa kiasi fulani kikubwa bila kufuatiliwa fatiliwa kila siku..

Sent using Jamii Forums mobile app
Washa shindwa sasa, lkn uniambie utengeneze systems zinazo jiendesha wenyewe kwa sisi ngozi nyeusi, hili jambo haliwezekani. Kikwete mmoja wa watu alikuwa anaamini sana katika watu alio wachagua ila mwisho wa siku walimwangusha kwani hakuwa mkali wala mfuatiliaji. Alicho amini aliye mchagua anayajua majukumu yake mwisho wa siku wa kamuangusha.

Enzi ya Kikwete niliishi mtaa ambao watoto watatu wa O level mapusha, Kulikuwa madon wanne wakubwa wauza unga, tena mmoja mizigo alikuwa analetewa na Wapakstani,kwa tuharibia wana watatu wa kitaa sasa hivi wote mateja magari yamewaka.

Ile baa ya KB (kwa watu wa Tabata wanaifahamu),ukiwa unarudi kupitia njia ya Ubayaubaya lazima ukabwe, ila tokea aingie Magu wale Madon sijui wamepotelea wapi, wale madogo nao sijui wapo wapi ila mmoja nasikia yupo Moro na biashara ya kuuza bange kaacha.

Siku hizi ile njia ya Ubayaubaya unapita bila, ila kadili ya siku zinapo elekea tutarudi kule kule.
 
Washa shindwa sasa, lkn uniambie utengeneze systems zinazo jiendesha wenyewe kwa sisi ngozi nyeusi, hili jambo haliwezekani. Kikwete mmoja wa watu alikuwa anaamini sana katika watu alio wachagua ila mwisho wa siku walimwangusha kwani hakuwa mkali wala mfuatiliaji. Alicho amini aliye mchagua anayajua majukumu yake mwisho wa siku wa kamuangusha.

Enzi ya Kikwete niliishi mtaa ambao watoto watatu wa O level mapusha, Kulikuwa madon wanne wakubwa wauza unga, tena mmoja mizigo alikuwa analetewa na Wapakstani,kwa tuharibia wana watatu wa kitaa sasa hivi wote mateja magari yamewaka.

Ile baa ya KB (kwa watu wa Tabata wanaifahamu),ukiwa unarudi kupitia njia ya Ubayaubaya lazima ukabwe, ila tokea aingie Magu wale Madon sijui wamepotelea wapi, wale madogo nao sijui wapo wapi ila mmoja nasikia yupo Moro na biashara ya kuuza bange kaacha.

Siku hizi ile njia ya Ubayaubaya unapita bila, ila siku tunapo elekea tutarudi kule kule.
So,Magufuli alikuwa anawasimamia vipi hawa watu hadi wa ngazi ya chini mtaani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So,Magufuli alikuwa anawasimamia vipi hawa watu hadi wa ngazi ya chini mtaani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu Simple alikuwa mfuatiliaji, anakupa cheo na anakufuatilia, sisi ngozi nyeusi mwengi wetu hatujui kujisimamia na sio hatujui ila mara nyingi uvivu wetu na tamaa zetu ndizo zinazo haribu kazi tunazopewa na kuaminiwa.
 
Kwa John Pombe Magufuli kila ulimi utakiri kuwa yule alikuwa mwamba wa vitu vingi

Kwa John Pombe Magufuli kila ulimi utakiri kuwa yule alikuwa mwamba wa vitu vingi
 
Hizo ni biashara za mapolisi wenyewe
Polisi hawa hawa wanaofanya kazi kimazoea pasipo kufuata PGO, polisi vilaza kuliko majeshi yote ya ulinzi na usalama. Ndio maana wengi wao wakistaafu wanakufa maskini kwa sababu ya utapeli na uonevu dhidi ya watanzania.

Kuna mmoja aliniletea za kuleta nilimvia kipindi anatoka kituo cha polisi, akachezea mikanda ya kutosha akaja kuleta malalamiko ofisini ishu ikapigwa chini enzi hizo tuna wakurugenzi hasa acha hawa wa enzi za Mama na JPM
 
Jibu Simple alikuwa mfuatiliaji, anakupa cheo na anakufuatilia, sisi ngozi nyeusi mwengi wetu hatujui kujisimamia na sio hatujui ila mara nyingi uvivu wetu na tamaa zetu ndizo zinazo haribu kazi tunazopewa na kuaminiwa.
Lakini raisi anamteua IGP tu then IGP ndo anawateuwa hao MaRPC..kwanini tusiwe na IGP kama huyo Magufuli ili tuwe na guarantee ya vitu kwenda maana ndo mwenye direct command inayoeleweka kirahisi kwa hawa MaRPC??..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siro alisema usikae kizembe ndani kaa na Silaha ndani siyo unakaa na masabu wufa tu ndani
 
Kwa John Pombe Magufuli kila ulimi utakiri kuwa yule alikuwa mwamba wa vitu vingi

Kwa John Pombe Magufuli kila ulimi utakiri kuwa yule alikuwa mwamba wa vitu vingi
Alikuwa katili na asiyependa kushauriwa , hawezi kuwa shujaa wa kila mtu bali the few blessed kwenye utawala wake
 
Lakini raisi anamteua IGP tu then IGP ndo anawateuwa hao MaRPC..kwanini tusiwe na IGP kama huyo Magufuli ili tuwe na guarantee ya vitu kwenda maana ndo mwenye direct command inayoeleweka kirahisi kwa hawa MaRPC??..

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hapo ni swala anaye teua mwenyewe na wale wanao mletea mafaili ya watu wenye sifa za kuwa maIGP na inawezekana wakawepo ili ndio hivyo nchi yetu inaumwa ugonjwa unao itwa connection.

Hivi ushajiuliza kwa matajiri wa kiarabu au wa kibongo wenye makampuni makubwa,kwanini wanawajiri wahindi kama wakuu wa vitengo, ili hali wapo wabongo wenye sifa na uwezo hata kuzidi wao.

Sababu ni moja wahindi wafuatiliaji pili waoga kwani kwao ajira ni ngumu kupatikana, wakipewa waisimamie task mara nyingi wanadeliver.
 
So,Magufuli alikuwa anawasimamia vipi hawa watu hadi wa ngazi ya chini mtaani?

Sent using Jamii Forums mobile app

utemi, mikwara,kutumbua, unyama, ukatili nk..
kuna wakati unapaswa kupitia hizo hatua ili kila binadamu ajitambue yeye ni nani...

Ukiwa mkuu wa nchi ukasema sitaki kusikia abcd, halafu ikatokea basi unapaswa kuonyesha mfano kwa wahusika...wengine wakisikia adhabu za wenzao watakaa kwenye mstari..

Mkuu hii sio ulaya, hii ni Africa bado watu hawajastarabika na sio waelevu...hata huko ulaya na America walifuata hatua hizi ili kukaa sawa.....

JK alijaribu kuishi kwa kuamini watu wafanye kazi kupitia job description zao lakini mijitu ndio ikawa mijinga na mipumbavu kiasi cha JK kuonekana hafai, na wengine walikuwa mijizi na matajiri wa kutupwa kiasi cha kumdharau huyo huyo JK na hata kutaka kumfelisha...

Chief, mifumo itakuja baadaye baada ya watu kuvurugwa na kuteswa sana, huko mbele sana watapangwa na kujipanga wenyewe...
Hata kwenye management kuna wakati unapaswa kuwavuruga watu wakose amani kabisa halafu ndio unaleta utulivu sasa...
 
Bangi inahusiana vipi hapo ndugu, kila kiotacho kila msimu inakuwaje wewe unakihukumu?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Vijiwe vya wavuta Bangi ndio mazalia ya uhalifu wa aina zote;
vibaka, majambazi na hata magaidi.
Polisi wanatakiwa wasafishe vijiwe vya wavuta bangi ktk mitaaa.
 
Uhalifu lazima uongezeke sababu watu walipokuwa wanafanya biashara zao wameondolewa bila kuwekewa mazingira mengine mazuri ya kufanya kazi zao..

Kuna watu walikopa bank ili waendeleze mitaji na kukuza biashara,Leo unapomhamisha kiholela unamuharibia madhara kama haya ni lazima yatokee tu ni jambo lililotarajiwa...

Hapa si ujambazi tu hapa biashara ya wanawake wanaouuza miili yao maarufu kama dadapoa nayo itashamiri.

Ilipaswa hili zoezi lifanyike mdogomdogo kwa utaratibu ambao ungepunguza makali ya kuondolewa kwa nguvu na ghfla bila ya kuandaliwa sehemu nyingine mbadala.

Serikali itafute namna ya kurudisha fedha mtaani hasa kipindi hiki ili walau kupunguza ukali wa maisha.

Siungi mkono uhalifu wa aina yeyote ile ila najaribu kuweka mawazo yangu kwann hali hii imejitokeza sasa.Jeshi LA polisi lifanye doria muda wote na sisi RAIA tunapoona viashiria vyovyote vya uvunjifu wa amani tutoe taarifa kwa jeshi letu LA polisi ili hatua zichukuliwe.
 
Kwahiyo yeye ndio alikuwa anabeba bunduki kuwasaka hao majambazi na kwa vile amekufa sasa hakuna mtu mwingine au sio.
Yeye ndiye aliyekuwa akilisimamia jeshi la polisi na polisi wakawa watekelezaji.

Swala la kuna au hamna mtu hilo ni swala la wanaoteua, sisi tunacho angalia hali ya sasa na ya Zamani then tunafanya comparison.
 
Alikuwa IGP au DCI?
 
Back
Top Bottom