joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Alikuwa Rais ila IGP na DCI walikuwa wakimwakilisha kwenye ulinzi wa taifa, kwa kuwapa maelekezo ya nini cha kifanyike na kufuatilia utekelezaji wake,kwa ajili ya usalama wa raia na mali zao.Alikuwa IGP au DCI?
Kwahiyo hao IGP na DCI walikuwa wanasikiliza amri zake tu na sio rais mwingine sio!Alikuwa Rais ila IGP na DCI walikuwa wakimwakilisha kwenye ulinzi wa taifa, kwa kuwapa maelekezo ya nini cha kifanyike na kufuatilia utekelezaji wake,kwa ajili ya usalama wa raia na mali zao.
Kwa wazamani naweza sema ndio kwa wa sasa, sijui ana manage vip vyombo vya dola au labda ww unajua wa sasa ana manage vp vyombo vya dola?Kwahiyo hao IGP na DCI walikuwa wanasikiliza amri zake tu na sio rais mwingine sio!
Vyombo vyote vya ulinzi na usalama vimeapa kuwa na utii kwa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania na hilo lilirudiwa kusisitizwa na CDF siku ya mazishi ya Magufuli kule Chato,CDF alikuwa akizungumza kwa niaba ya wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama na imekuwa hivyo polisi,jwtz, magereza,uhamiaji na majeshi mengine yote yanafanya shughuli zao kwa utii mkubwa kwa rais lakini nyie masalia wa Magufuli kazi kila siku ni kutafuta kasoro na kulaumu tu.Kwa wazamani naweza sema ndio kwa wa sasa, sijui ana manage vip vyombo vya dola au labda ww unajua wa sasa ana manage vp vyombo vya dola?
Lilikuwepo hatujakataa ila si kwa ukubwa kama wa sasa ndani kipindi kifupi. Nyie si masalia wa Ufipa mnaona mkimsifia Magu kama mtapungukiwa kitu, ila hali ya sasa na kabla ina jieleza yenyewe.V
Vyombo vyote vya ulinzi na usalama vimeapa kuwa na utii kwa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania na hilo lilirudiwa kusisitizwa na CDF siku ya mazishi ya Magufuli kule Chato,CDF alikuwa akizungumza kwa niaba ya wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama na imekuwa hivyo polisi,jwtz, magereza,uhamiaji na majeshi mengine yote yanafanya shughuli zao kwa utii mkubwa kwa rais lakini nyie masalia wa Magufuli kazi kila siku ni kutafuta kasoro na kulaumu tu.
Wote tumeshuhudia toka Mh Samia aingie madarakani ukiacha tukio lile la Hamza hakuna tukio lingine la kuvamiwa askari na kuuliwa kama ilivyokuwa wakati wa Magufuli lakini hilo hamlisemi.
Ila mmeona hilo tatizo la vibaka ambalo lipo miaka yote ndio jambo kubwa sana.
Kamfufueni basi.Lilikuwepo hatujakataa ila si kwa ukubwa kama wa sasa ndani kipindi kifupi. Nyie si masalia wa Ufipa mnaona mkimsifia Magu kama mtapungukiwa kitu, ila hali ya sasa na kabla ina jieleza yenyewe.
Kumfufua kazi ya Mungu ila kwangu mimi ni moja ya Marais bora, wewe endelea kuumia mzee ufipa sisi tutaendelea kumsifia na ww hukatazwi kumchukia, kwani tokea kuumbwa kwa dunia hajawahi kutokea binadamu aliye pendwa na kila mtu.Kamfufueni basi.
Mimi siwezi kuumia kufa kwa muuaji na katili lilopitiliza ndio kwanza nafurahi kwa Mungu kutuepusha na balaa.Kumfufua kazi ya Mungu ila kwangu mimi ni moja ya Marais bora, wewe endelea kuumia mzee ufipa sisi tutaendelea kumsifia na ww hukatazwi kumchukia, kwani tokea kuumbwa kwa dunia hajawahi kutokea binadamu aliye pendwa na kila mtu.
Huo mtizamo ila kwangu ndiye Rais bora.Mimi siwezi kuumia kufa kwa muuaji na katili lilopitiliza ndio kwanza nafurahi kwa Mungu kutuepusha na balaa.
Ndio ni mtizamo wangu pia ndio maana sioni jambo kubwa lilobadilika eti kwa sababu fulani hayupo nchi hii ina hazina kubwa ya viongozi japo wakati mwingine tunakosea kuchagua kiongozi sahihi kama ilivyokuwa 2015 katika kipindi kifupi tu cha uongozi wa Magufuli nchi imeyumba sana,kwangu hakuwa kiongozi sahihi.Huo mtizamo ila kwangu ndiye Rais bora.
Wewe huoni ila mimi naona na kuto kuona kwako haina maana hayatokei.Ndio ni mtizamo wangu pia ndio maana sioni jambo kubwa lilobadilika eti kwa sababu fulani hayupo nchi hii ina hazina kubwa ya viongozi japo wakati mwingine tunakosea kuchagua kiongozi sahihi kama ilivyokuwa 2015 katika kipindi kifupi tu cha uongozi wa Magufuli nchi imeyumba sana,kwangu hakuwa kiongozi sahihi.
Haya lakini ndio keshakufa.Wewe huoni ila mimi naona na kuto kuona kwako haina maana hayatokei.
2015 kwangu tulichagua Rais sahihi aliyefanya mambo mengi kwa mda na ilikuwa stable.
Ila Mazuri yake kwetu yanaishi na ndio maana tuna yaongea na kufa si kitu cha ajabu kwani wote njia yetu moja au labda ww utaishi milele.Haya lakini ndio keshakufa.
Mtanikumbuka. Tena mtanikumbuka kwa mazuri na siyo kwa mabayaKwa sasa hali ni ngumu sana mtaani kiusalama hasa sisi wafanyabiashara hali ni tete.
Juzi mwenzetu anaeyejihusisha na Mobile money Transction amenusirika kuuawa baada ya kukwepa risasi iliyoelekezwa kwenye paji lake la uso na kwa bahati nzuri ikampata maeneo ya mkononi na paja lake la kushoto na majambazi wakafanikiwa kuondoka na zaidi ya milioni 30.
Nini kimebadilika sasa mpaka hawa jamaa wamerudi kwa kasi hivi? Pamoja kwamba nilikuwa siafikiani na sera za Magufuli za kikatili lakini hawa majambazi walikuwa hawafurukuti na kusikika kipindi chake.
Sasa ni kama Waziri wa Mambo ya Ndani na IGP Simon Sirro wameamua kushirikiana na majambazi ama MAJAMBAZI ni polisi wenyewe sasa wameona uwanja uko wazi wameamua kurudi ulingoni.
Haiwezekani matukio yaliyokuwa yamepotea sasa yanarudi kwa kasi
Ni heshima na uwajibikaji.
Utii bila wajibu na kutambua kazi yako ni bure.V
Vyombo vyote vya ulinzi na usalama vimeapa kuwa na utii kwa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania na hilo lilirudiwa kusisitizwa na CDF siku ya mazishi ya Magufuli kule Chato,CDF alikuwa akizungumza kwa niaba ya wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama na imekuwa hivyo polisi,jwtz, magereza,uhamiaji na majeshi mengine yote yanafanya shughuli zao kwa utii mkubwa kwa rais lakini nyie masalia wa Magufuli kazi kila siku ni kutafuta kasoro na kulaumu tu.
Wote tumeshuhudia toka Mh Samia aingie madarakani ukiacha tukio lile la Hamza hakuna tukio lingine la kuvamiwa askari na kuuliwa kama ilivyokuwa wakati wa Magufuli lakini hilo hamlisemi.
Ila mmeona hilo tatizo la vibaka ambalo lipo miaka yote ndio jambo kubwa sana.