V
Vyombo vyote vya ulinzi na usalama vimeapa kuwa na utii kwa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania na hilo lilirudiwa kusisitizwa na CDF siku ya mazishi ya Magufuli kule Chato,CDF alikuwa akizungumza kwa niaba ya wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama na imekuwa hivyo polisi,jwtz, magereza,uhamiaji na majeshi mengine yote yanafanya shughuli zao kwa utii mkubwa kwa rais lakini nyie masalia wa Magufuli kazi kila siku ni kutafuta kasoro na kulaumu tu.
Wote tumeshuhudia toka Mh Samia aingie madarakani ukiacha tukio lile la Hamza hakuna tukio lingine la kuvamiwa askari na kuuliwa kama ilivyokuwa wakati wa Magufuli lakini hilo hamlisemi.
Ila mmeona hilo tatizo la vibaka ambalo lipo miaka yote ndio jambo kubwa sana.