joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
World Bank inakusanya ripoti kila baada ya muda gani?, hii taarifa iliyowekwa hapa ndiyo taarifa toka serikalini wenye jukumu la kusambaza umeme na kukusanya hizi taarifa na kuwapa hao WB ambao wanazisambaza. Kwa taarifa yako, by 2020/2, Tanzania itaungana na nchi zingine tano za Africa katika universal elecrification, sasa hivi about 70% ya population imeshaunganishwa na umeme.Ulivyo muongo unafaa uaibike....by the end of 2016 data from world bank ilkua inaonesha electricity access rate Kenya ilkua 60% na Tanzania 36%..haiezi kuwa in one year mmetoka from 36% to 68% na kuipiku kenya
East Africa on track to boost energy access, says World Bank