Monica Mgeni
Member
- Oct 7, 2021
- 82
- 134
Toa maoni yako kuhusu tafsiri ya Mchoro huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubaliana na wewe 100 % ...... Huo ni mchoraji tu siyo Artist!!Ni mchoro wa kijinga tu ambao kila mtu anaweza kuuchora kulingana na mtazamo wake.
Kwenye hiyo bendera ya CCM wangeweka na picha ya polisi kashika silaha.
Hivi Itikadi imejengwa kwenye Bendera au ktk Mioyo ya waoziishi hizo Itikadi kama tunavyoziishi Imani zetu.
Vijana wa kwenye korido za lumumba.Nani kachora?