Hali ya wizi Serikalini awamu ya Sita imevuka mipaka

Huyu hawezi kuguswa maana ni Afisa Mipango maalumu.Hapo atampatia kiwanja Diblo Dibala kwenye Prime area huko Katavi na mtamskia yupo Halmashauri ya Mkuranga maana huyo ni mzoefu wa kukata na kupima mapori tengefu🤣🤣🤣🤣
 
Makatibu wa CCM wilaya karibu nchi nzima wanatoka Tanga? Aisei...sikuwa najua. Weka mkeka hapa tuwajue na wilaya wanazotoka huko Tanga.🙏🙏🙏
 
Hao wanaofanya hayo madudu wanasimamiwa na CHADEMA ndiyo maana wako hivyo. CHADEMA wanapenda sana ufisadi.
 
Hao mawaziri wanaweza kweli kuamua hivyo kirahisi ktk nchi yenye mfumo imara wa uongozi wa dola kama hii?
Wakati hela zinapelekwa Kitovuni Chato bila kufuata taratibu za serikali, hiyo mifumo haikuwepo? Au bwana Semtawa (Na wewe ni wa kutoka Tanga?) unatetea kwa kuwa nyumbani kumetajwa?

Nchi mabilioni ya fedha za watanzania yamekuwa yakiibiwa kila mwaka wewe unakuja na mifumo imara isiyokuwepo!!
 
Untouchable,tuzidi kuomba ahamishwe .ila yeye, Riz wan na aeshi ni best friends.tusahau
 
Je kazi hizo hazina wenyewe? Waziri mkuu anapaswa kusimamia masuala ya ukuaji wa uchumi, ajira na maendeleo. Kipimo cha Waziri mkuu cha utendajicha utendaji ni kipi?

Police na ,Takukuru walikuwa wapi?
Inakuwa kama yeye ndio hakimu sasa yaani haileti sense kabisa


Huko kwenye maofisi kuna usalama wa taifa, polisi, takukuru, tume ya maadili, mwanasheria wa serikali wote hawa hakuna walichoona juu ya huyu mtendaji mwenzao wa serikali na kuchukua hatua haraka hadi asubiliwe wazir mkuu ndio aje kutoa hukumu.??
hii nchi hii ni shida isee..
 
Sheria ikibadilishwa watumishi wa UMMA waweze fukuzwa kazi.

Walipe hasara waliyosababishia serikali
 
Sasa ulitaka Majaliwa amuweke kwenye kiroba?
Mambo ya viroba mnajua ninyi mlipokuwa mnawatoa hao.
Na sababu mnajua kwa Nini mlikua mnafanya hivyo.
Mzee mmoja kaanza kuongea hovyo na ipo siku mtajitaja tu, (karma)

Msisingizie mtu mwingine.
Na kama ulipotelewa basi tangazA msiba watu wake wakufariji kwa kufiwa.
 
Kaka hata Mwendakuzimu alifikiri angesalia milele. Ni kweli huyu AWEZO ni mwizi na mla rushwa mkubwa. Kila mtu anaemweka Kwa position amegawiwa fungu. Hafai hata chembe!
 
Wafuasi wa JPM wanamchukulia kama malaika kwamba hakosei wakati teknolojia imehifadhi kila tukio la awamu ya tano.

Inakera kusoma mahali eti kama angekuwa Magufuli asingekubaliana na maamuzi haya. Kujitoa ufahamu.
 
Wafuasi wa JPM wanamchukulia kama malaika kwamba hakosei wakati teknolojia imehifadhi kila tukio la awamu ya tano.

Inakera kusoma mahali eti kama angekuwa Magufuli asingekubaliana na maamuzi haya. Kujitoa ufahamu.
Wapumbavu sana hao wanaodhani kila mtu Ni mpumbavu Kama wale waliokuwa wanawaita wanyonge..

Chini ya Mwendazake wizi wa kutosha umefanyina afu yanaongea upuuzi kisa wamemstahi mtu wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…