Hali ya wizi Serikalini awamu ya Sita imevuka mipaka

Samia ameiharibu sana Tanzania haijawahi kutokea tangu izaliwe.huyu bibi hakufaa kabisa kuwa rais ila basi tu kwa kuwa na katiba mbovu iliyotungwa na watu wabovu iliyosababisha kupata rais mbovu awamu ya sita
 
Samia ameiharibu sana Tanzania haijawahi kutokea tangu izaliwe.huyu bibi hakufaa kabisa kuwa rais ila basi tu kwa kuwa na katiba mbovu iliyotungwa na watu wabovu iliyosababisha kupata rais mbovu awamu ya sita
JPM ndio aliiweza TZ kwa akili kama hizi. Tembea huko mikoani uone yanayofanyika ondokana na hizi chuki zisizo na msingi.
 
Wakati mwingine binadamu hatujui tunataka nini
 
Lakini hao wote wakibainika Rais Samia Suluhu lazima awachanie mkeka mama hana mchezo na pesa za umma
 
Serikali ya Rais Samia Suluhu imekua ya moto sana hawa waliokua wamezoea upigaji wananyooka
 
AWEZO si mwaminifu. Msanii anayejifanya kupanda boda wakati moyoni mwake anafahamu anajihusisha na rushwa ndogo ndogo na kubwa kubwa
 
Hao wanatimiza waliyoambiwa: "Kuleni kwa urefu wa kamba zenu."

Asiyeelewa hilo ni nani?
 
Ndugu

ACHA wale, nyakati zao ni za muda mfupi SANA!

Muda sio mrefu tutasahau kuwa kama haya yaliwahi KUTOKEA!

ACHA wale ni WAKATI WAO!

Mungu ibariki Tanzania nchi yetu!
Unawaruhusu, au ni sauti ya kukata tamaa!

Huko "kusahau" ndipo penye kasoro hapo.

Haitakiwi kamwe kusahau. Unasahau halafu unaingiza wengine wenye tabia ile ile, au hata mbovu zaidi ya hawa!

'Mwl' ukifundisha namna hii taifa hili litaangamia.
 
Serikali ya Rais Samia Suluhu imekua ya moto sana hawa waliokua wamezoea upigaji wananyooka
Sio kweli, kuna jamaa alikuwa halmashauri anatoa leseni fake kwa muda wa miaka 4 amepiga kama 800mln baada ya kubainika aliamishwa tu.
 
Ki ukweli, hali inatisha. Zamani angalau waliiba kwa kujificha, lakini sasa hawafichami. Wanaiba mchana kweupe pee.
Jitu likishakwapua pesa/mali za umma linaita waandishi wa habari na kuanza kumsifu Mama.
Hapo utasikia sifa nyingi zilizopitiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…