Hali ya zao la Korosho sokoni

Tunapishana timing ya kuivisha na kuvuna. Wao wananza kisha tunakuja sisi mwishoni mwa mwaka. So hata wanunuzi wanaanza kule west zikiisha wanakuja huku east.

In terms of quality, korosho yetu ipo juu zaidi. Na kuna wateja wanaijua na wanaipenda sana hii ya kwetu.
 
Ukimwi sio wa kuuogopa kiivyo! Wanausalimika wasiojua kusahau.

Nikirudi kwenye mada:-
Nilichoki quote kimepostiwa leo tarehe 24 rejea kisha uombe msamaha hadharani.
Hujui kwamb inatumia masaa
Ungerud nyuma kimasaa ungejua ilikuw lin
Ila taarfa ndio hyo boss
 
Leo tarehe 24/10/2018 umepigwa mnada mkoa wa Lindi ndani ya wilaya nachingwea katika chama kikuu cha RUNALI (Ruangwa,Nachingwea na Liwale) bei ya juu ni 2656 na bei ya chini ni 2200 ,nako wakulima wamegoma!!!!

Hivi wakishagoma kinafuata nn??
Si kam wew unavyokata uza bidhaa yako kwa sababu za kimaslai
Ila watauza tuu hawan jeur
 
New update Lindi leo tarehe 25/10/2018
Mnada wa korosho leo lindi mwambao Bei ya juu 2400/- na ya chini 1950/- makampuni 15

Naomba kuwasilisha
 
New update Lindi leo tarehe 25/10/2018
Mnada wa korosho leo lindi mwambao Bei ya juu 2400/- na ya chini 1950/- makampuni 15

Naomba kuwasilisha
Vipi wananchi wamekubaliana na hali hiyo au wameendelea kugoma.
 
Inabidi tuwe tunaziprocess hapa hapa Bongo na kuziuza moja kwa moja Ulaya na Marekani.

Siyo tunawauzia Vietnam, India, halafu wao wanazi process na kuziuza Ulaya. Faida kubwa wanaipata wao.

Ili kufanya hivyo inabidi kuweka mazingira mazuri ya kuvutia kwa wawekezaji.
 
Mnada wa dharau umesitishwa hadi jumatatu 29/10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…