Nyangabo2022
Senior Member
- Nov 13, 2022
- 126
- 195
Kama kichwa Cha Uzi kinavyosomeka hapo juu, nimepta mara nyingi katika mbuga zilimwazo mpunga kuanzia Dodoma, Manyoni, Itigi, Igunga, Nzega, Kahama, Shinyanga na mkoa wa Mwanza Kwa kipindi kuanzia January Hadi March mwaka huu.
Nimepata picha kuwa mwaka huu tutakumbwa na uhaba mkubwa Sana kama sio mfumko wa bei ya Mchele pamoja na pumba lain Kwa wafugaji! Hii imekuja baada ya mvua kuwa haba nilizoea kuona maji yamejaa ktk maeneo tajwa kuanzia December had April tofaout na mwaka huu. Vp Hali ilvyo Kwa maeneo unayoyafahamu wewe? Toa maoni yako.