Hali ya zao la mpunga nchini ni mbaya msimu huu

Hali ya zao la mpunga nchini ni mbaya msimu huu

Sema unachojua wewe.mimi Nimesema ninayoyajua kutoka field.
Nimekuuliza swali kutokana maelezo Yako mfano ...umesema una imani mchele utakuwepo Mbeya!?! Then ukasema Songea ni given' Kwa ujuzi mdogo wa Lugha ..Ina maana huna uhakika na ulichoandika ,au anaongea Kwa uzoefu wa historia!
 
Sawa Mkuu, ungenisahihisha kwa kile unachojua wewe. Mimi nimeandika nikijuacho.
 
Huu ni muda sasa wa kuongeza utafiti na usambazaji wa mbegu za mpunga zinazolimwa maeneo ya miinuko (highland rice) badala ya kutegemea mpunga uzalishwe mabondeni pekee vinginevyo tutazidi kuumia na kulia
Bwanan Mdogo una😊 una akili sa na!
 
Pawaga bei imeshuka sana gunia la mpunga linasoma 50,000 hadi 60,000. Sokoni Iringa kilo moja mchele imeshuka hadi 1800-2200
 
Back
Top Bottom