Nimekuuliza swali kutokana maelezo Yako mfano ...umesema una imani mchele utakuwepo Mbeya!?! Then ukasema Songea ni given' Kwa ujuzi mdogo wa Lugha ..Ina maana huna uhakika na ulichoandika ,au anaongea Kwa uzoefu wa historia!Sema unachojua wewe.mimi Nimesema ninayoyajua kutoka field.
Hiyo mbegu nadhani ASA ndio wanayo. 0787 306 699. Piga hiyo namba. Utapewa muongozo sahihi wa upatikanaji wa mbegu ya mpungaIle ni mbegu wenye kuijua jamn wakuje
Sawa Mkuu, ungenisahihisha kwa kile unachojua wewe. Mimi nimeandika nikijuacho.Nimekuuliza swali kutokana maelezo Yako mfano ...umesema una imani mchele utakuwepo Mbeya!?! Then ukasema Songea ni given' Kwa ujuzi mdogo wa Lugha ..Ina maana huna uhakika na ulichoandika ,au anaongea Kwa uzoefu wa historia!
Bwanan Mdogo una😊 una akili sa na!Huu ni muda sasa wa kuongeza utafiti na usambazaji wa mbegu za mpunga zinazolimwa maeneo ya miinuko (highland rice) badala ya kutegemea mpunga uzalishwe mabondeni pekee vinginevyo tutazidi kuumia na kulia
Mkiuza Tsh5000 Serikali inaingiza mchele kutoka nje unauzwa Tsh1800 halafu tuone nani ataumbuka.Kaa kwa kutulia. Sio nchi bzima.View attachment 2565780
Mkuu pwawaga ipo mkoa Gani?Pawaga bei imeshuka sana gunia la mpunga linasoma 50,000 hadi 60,000. Sokoni Iringa kilo moja mchele imeshuka hadi 1800-2200