Hali yako ya kimaisha ya sasa unaipa methali au msemo upi?

"Si unajifanya kibri? Mwaka huu utakula jeuri yako mwana kumanina wee"

Hizo ni methali kutoka kwa mama wa kambo mabandidu huku Uswahilini. Na kweli miaka 5 hii tutakula jeuri zetu!
si unajikuta kibriai🤣🤣🤣
 
daah pole mkuu
 
duuuh kipi kimekukuta tena
Mkuu maana ya hii methali ni kutekeleza jambo kwa uhakika wa vile unavyoona inafaa bila kusitasita. Linapokuja swala la maamuzi magumu mie huwa sirudi nyuma na nashukuru Mola maamuzi hayo nayochukuaga hayajawahi niangusha.
 
sawa sawa mkuu
 
"Usipime kina cha maji kwa miguu yote miwili"! Aisee nimezama kabisa maisha magumu yaani "Tia maji tia maji"
"Usitukane/usimcheke mamba kabla hujavuka mto" nakumbuka nilivokua chuo nikiona mtu kamaliza chuo na hajapata kazi najiuliza kazi zote hizo zinazotangazwa why hawapati aargh mimi ntapata bana duh baada ya kumaliza sasa tobaa kaa sana mtaani hadi maji nikaita mma😀😀
 
Umeipata hiyo kazi saiv?😅😅
 
ni huzuni kwakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…