Hali yako ya kimaisha ya sasa unaipa methali au msemo upi?

Mtaka Cha uvunguni sharti ainame..
 
Heri moja kuliko kumi nenda rudi uje!

Ntaua Mdai wangu!....mwaka sasa!
 
SIO LEO LABDA KESHO!
 
Uchumi unaweza kukuchumu mpk ukasahau jinsia yko.. Kiukwel nimekutana na ngariba angali sina govi.
 
Kuna methali mbili zinahitaji kuingizwa katika kitabu cha methali;

"Kwani nasema uongo ndugu zangu"
"Mi[emoji113] tena"

Hizi methali zimebeba uhalisia wa maisha chini ya huyu mkulungwa.
 
Kuna methali mbili zinahitaji kuingizwa katika kitabu cha methali;

"Kwani nasema uongo ndugu zangu"
"Mi[emoji113] tena"

Hizi methali zimebeba uhalisia wa maisha chini ya huyu mkulungwa.
🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…