Hali yangu baada ya kujibiidisha na kusoma na kufuatilia makala za kifalsafa

We maskini skia kaa kwa kutulia,hizi mada zinahitaji uwe umeshiba chakula aina ya BALANCED DIET.

Shida mnakula sana ugali, uwezo wenu wa kuelewa mada ni mdogo mno.

Badili mlo uwe unakula kama anavyoshauri Profesa Janabi.

Utanishukuru baadae....

Mada zenu ni siasa, kulana kimasihara na kudiscuss mipira.Huku umepotea njia bro!!
 
NB;KAMA KULA YAKO NI YA SHIDA, WEWE HUSTAHILI KUDISCUSS HIZI MADA UTAPATA SONONA NA KUCHUKIA HII DUNIA.UNAHITAJI FARAJA NA MATUMAINI.HIZI MADA NI UKWELI MCHUNGU HUKU MATUMAINI HAKUNA WALA FARAJA.KAA MBALI!!!

📌😀WEWE ENDELEA KUPAMBANIA MKONO UWENDE KINYWANI, NJIA YA CHOO ISIOTE NYASI.
 
Kama wewe usivyoamini biblia vivyo hivyo na mimi siwezi kuwaamini binadamu kama mimi. Hata kama wangetokea from other galsxy kwangu mimi hawana jipya
Huyo mwamba wa kuitwa SPINOZA, ukimsikiliza ukimsoma hahahaaa nakuapia huyo YESU utamkana 7×70.

Tafuta maarifa acha kuishi kwa script.

Nikupe kionjo tu ingia U-tube search Spinoza skiliza video mojawapo kisha tumia akili kutafakari mawazo yake,weka ushabiki na hisia pembeni.

Huyo yesu uliyekaririshwa atayeyuka na kutokomea kusikojulikana.
 
Hongera bro Pia kuna channel inaitwa predictive history apo YouTube ina madini sio poa
📌📌Vijana wakiingia mitandaoni wanakimbilia kupata cheap DOPAMIN( Matrako,na video za hovyohovyo).

Huku wapo vijana wachache sana hasa wale curious.Ila wenzangu na mie wa kupenda DISTRUCTION hizi mada kwao ni bored sana.
 
Spinoza aliniacha hoi ""God is nature " Haya mambo ya kusema alimtoa mwanae "Yesu" kafara ni hadithi za sungura. Yap! Spinoza. Alikuwa fundi wa kuchonga vyuma tu ila "kichwa". Alinigua kwani mimi ninaamini kila kitu kina chanzo chake na hicho ndicho "Mungu " ila sijui hicho chanzo kimetoka wapi. Mzee plato nae alikuja na hoja ya ulimwengu wa mawazo. Vyote tunavyoviona sio uhalisia wake. Kanipeleka mpaka kwenye "allegory of the cave".
 
Wale misulule a.k.a mashabiki wa mitume hewa na uongouongo design hiyoo na makasuku wapayukaji wa dini za Ibrahim.

Wapitisheni kwa huyu mwamba SPINOZA hapo wanakula facts za kwenda shule, lazima ujinga uwatoke.

📌Mbinguni na motoni ni hapahapa duniani.Acheni kuongopeana sijui kuna afterlife wala afterdeath😀😀
 
Oya huko kwenye falsafa ni moto majamaa walikimbiza ile mbaya ni mwendo wa 4-4-2 huko mashabiki maandazi beki hazikabi huko ni bureini inawaka moto FACTS ZINACHOMA CEREBRUM MOSHI UNATOKEA KWENYE MEDULLA😀😀😀😀

📌Huyo Spinoza anakuvua ujinga mwenye unakubali yaishe shabashhhh!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…