Hali yangu baada ya kujibiidisha na kusoma na kufuatilia makala za kifalsafa

Huyo mwamba wa kuitwa SPINOZA, ukimsikiliza ukimsoma hahahaaa nakuapia huyo YESU utamkana 7×70.

Tafuta maarifa acha kuishi kwa script.

Nikupe kionjo tu ingia U-tube search Spinoza skiliza video mojawapo kisha tumia akili kutafakari mawazo yake,weka ushabiki na hisia pembeni.

Huyo yesu uliyekaririshwa atayeyuka na kutokomea kusikojulikana.
Hapana cha maarifa wala nini maana hata hao ni wanadamu kama wewe tu kwahiyo hakuna jipya
 
Ukiona nimeadimika huku ujue nipo huko YouTube deep na Google kusoma soma mambo ya Dunia😂😂
Kula vyuma mzee,,,hutajutia muda wako.

Fact zipo uwe tu na bado unlimitted,angalia usilale na viatu🤣🤣🤣
 
Upuuzi mtupu.

Utaishia kukariri nawazo ya watu tu na kuwa mjuaji wa kinachoitwa maarifa wakati huna mchango wowote wa mawazo mapya kwenye jamii yako. Tafuta pesa, acha kuropoka kama mwendawazimu.

Mimi sihitaji ushauri wako maana huna jipya. Upo na mawazo ya watu wengine kwenye bichwa lako unahisi una elewa mambo kumbe ni mbumbumbu tu.
Hata hizo pesa unazotafuta zimeanzishwa na watu kabla ya pesa BIASHARA zilikuwa on barter trade system.
 
mbona wakawaida sana hao, kama ww n mwamba soma madubwasha ya kwny grimoire books e.g grand grimoire, ars goetia(lesser key of king solomon) ujue upande wa pili wa dunia upoje, mbn huyo nicolo wa the prince ukisoma 48 laws of power cha robert greene, pia kama hujasoma quantum mechanics inavofanya kazi falsafa zako bdo ndogo sana, kinachokusumbua ni tatizo la akili dunning krugger effect jitibu hiyo sense of grandiosity inayokuvimbisha kichwa kwny upepo tu.
 
Habari wanajf.

Najihisi kuwa na furaha na amani tele.Nimejikuta ninaOVERCONFIDENCE hatari mbaya kabisa😀😀😀.

Sielewi ni kwanini ila nametokea kuwa mpenzi wa makala na maandiko ya wanafalsafa wale watukutu,RADICALS.

Baada ya kukutana na vitu ambavyo nimekuwa najiuliza maswali na kukosa majibu sahihi au hata kukosana na jamii yangu maana wengi wao nilikuwa nikiwauliza hayo maswali magumu wanakosa majibu na badala yake wananizodoa na kunikataza nisipende kuhojihoji.

Sasa baada ya kusomasoma na kuwa mchimbaji wa U-TUBE kwa muda sasa nimejikuta napata majukwaa ambapo mada zile ngumu kumeza zinajadiliwa bila chenga.Nimejikuta addicted hatari fire🔥🔥🔥.

Nifuraha iliyoje kujikuta mawazo yako yanashabihiana na wanafalsafa WATUKUTU na waliopingwa muda mrefu ila walikuja kukubalika baadae sana na jamii za wenye akili timamu.

Hawa wakulungwa wamenifuta ujinga na kunibadilisha haswa kiasi kwamba nimekuwa najiogopa maana KNOWLEDGE niliyoipata kutoka kwenye hivi vichwa inamizani mizito hata PhD za wasomi wa bongo ni takataka tupu.Takataka over!!!!😀😀😀

Kijana kama bado kunamaswali yanakusumbua kuhusu hii dunia na vilivyomo basi anza na hawa WAKULUNGWA;

1. BAROUK SPINOZA( KATAA DINI )- huyu mwamba atakufunulia ufunuo wa kweli🙏😀

2.ATHUR SCHOPENHAUER(KATAA NDOA KINDAKINAKI)-Huyu COMRADE atakupa ukweli wote,mbivu na mbichi kuhusu ndoa kuwa utapeli.Na mapenzi ni game kama game nyingine tu.

3.NICOLLO MACHIAVELI(MZEE WA MBINU ZA KUITAWALA DUNIA)-Huyu atakuivisha kwenye mbinu za kimafioso za jinsi ya kuwa GURU katika sehemu yoyote na jinsi ya kutawala mazingira na watu wake.

📌Wale wapenda vitabu tafuteni vitabu vya hawa magwiji hamtajutia.Utajutia tu kwanini hukuwajua muda mrefu.

🔥🔥Kwa wavivu ingia U-TUBE wasearch ukipata video zinazochambua mambo waliokuwa wanaelezea nakuhakikishia usipokuwa addicted wewe ni fala!!!

NB:HAKUNA RAHA KAMA KUSOMA NA KUANGALIA DOCUMENTARIES ZA WATUKUTU KAMA HAWA!!!

#KATAA NDOA,NDOA NI UTAPELI!!!

#KATAA DINI,DINI ZOTE NI MIFUMO YA KIUTAWALA!!!

📌LIVE YOUR LIFE,YOUR THE ALFA AND OMEGA.TAKE IT OR LIVE IT GADEMIT!!!!

##PUVU RUKSA!
Share pdf
 
🙏🏾
 
😀😀😀yaani mnafurahisha nyie watu maskini wa akili na fikra.

Afterall hiyo pesa huna na hutakuja kuishika.Keep dreaming, hii kanzu kwako ni oversize.

Tafuta mada za siasa na kula kimasihara.Huku panahitaji matured brains sawa bwana mdogo!
Absolutely
 
Back
Top Bottom