Hahaha warumi ngoja nikuulize swali my fellow gossiper, best na mengineyo. Kitu kama kwenda kwa waganga kinataka ushahidi...je ulishakutana na wema kule kwa sangoma??
Hahaaahaaa Mrembo by Nature kumbe nawe unapenda gossip like me!!!
Huyo halima na wema wote wachawi kutwa kushinda kwa waganga kumloga ndomo
We binamu na wema wako Huyo , mbona umbea mwingine uombagi ushahid ila wa wema unataka huamini au?
Mlienda wote?
mwanaume mbea,mchonganishi na mpashikuna kama shoga lenye majini.
Kwani binamu hujui maana ya umbea au? Sio kila linalosemwa lipo na ndio maana nikasema umbea, so changanya akili yako na ya kuambiwa utapata jibu.mengine yaache apa apa
Naelewa binamu nilikuwa nampa jibu Mrembo by Nature
Huyo halima na wema wote wachawi kutwa kushinda kwa waganga kumloga ndomo
Tatizo Mrembo by Nature anapenda udaku ila usiwe wa wema mtagombana
Picha tafadhali
Wakiwa wanawanga kwa karumanzira
Sent from my iPhone using JamiiForums
We binamu na wema wako Huyo , mbona umbea mwingine uombagi ushahid ila wa wema unataka huamini au?
Hahaaahaaa Mrembo by Nature kumbe nawe unapenda gossip like me!!!
hahahaha mie timu umbea ila team wema damu.....basi akisemwa wema naumiaje ndani kwa ndani ila ndo hvo ukipenda umbea ukubali kusikiliza na unaowahusu wa kwako siku moja moja
Duuuuh...mjini mipango mamiii
Nenda global wanazo
Dear umetisher...nimecheka kweli eti waumia ndani kwa ndani.
Yaani nna rafiki yangu yupo kama wewe! Basi ikitokea asikie Wema anasemwa vibaya anaumia kweli na atabisha au ahakikishe story imezimwa
Huwa tunamtania Dada wa Wema wa hiari...lol
Kitu cha Mziray kimefutwa...chezea modes