Hahahaha na warumi na wema ni kama maji na mafuta ya taa.... basi bila kuushusha wa wema hajisikiiii kabisaaaaaaa. Hapa nasubiri tu siku ifike turudi kwa shem clement manake mjini ni kubadilishana mb**** a.k.a vikojoleo

hahaa mapenzi kama siti ya daladala ukiondoka wenzako wanakalia
Yaani acha tu mambo ya mjini! But seriously Wema can do better atulie tu afocus kwenye kusaka pesa kwa kuinvest kwenye miradi inayolipa kodi sio hiyo mingine
Sio kweli binamu
Ndo tupate bwana mwingine atupe mtaji sasa, clemee (kwa sauti ya kichaga) ndo huyo amekata kamba yuko kwa kajala
Nenda global wanazo
Kitu cha Mziray kimefutwa...chezea modes
Watu na hisa zao JF
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nipo binamu ,wewe nikiweka udaku wa wema ndo kama nakufukuza kabisa humu jukwani, hihihiii
Nilikuwa IG kwa "usipojipangantakupanga"
Aaahah aaah duh binamu umetishaaa
Hihihiii simjui jina
Ishu na ney au ipi binamu?