Halima Mchuka hatunae duniani

Halima Mchuka hatunae duniani

Halima mchuka ametutoka alfajiri ya leo! Ni mtangazaji wa Tbc! Source tbc!
 
Tangu RTD nakumbuka.

May all beings attain enlightenment.

http://mastertz.blogspot.com/2009/03/halima-mchuka-has-inspired-us-today.html?zx=1ce18eb5905e204b

Photo+003.jpg
 
Halima si ndio yule mwanamMwinyi,ni mtoto wa ilala kama sikosei.

Niliwahi kusikia kwamba alikuwa mgonjwa muda mrefu lakini nikajua pengine alishapona na kapangiwa kazi nyingine sio kutangaza soka tena.

RIP da HALIMA, Kariakoo (Ilala) tunalia.
 
Dah! Kitambo sana tangu aanze kuumwa hata kabla tbc haijazinduliwa wala dalili ya kuwepo. Ni ngoma imemuondoa hiyo kiarusi wanazuga tu kuna siku ila kitambo sana niliwahi kukutana nae pale dar group hospital. Sisi ni wa Mwenyezi mungu na kwake ndipo marejeo ya viumbe wote.
 
:ranger::A S 114:

RIP H.M.
 
Ukweli unauma,R.I.P shangazi.
 
RIP da Halima, Mwenyezi Mungu awape nguvu ndugu, jamaa na wafiwa wote katika kipindi hiki kigumu.
 
Back
Top Bottom