Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa Mtangazaji Pekee mwanamke wa Mpira. RIP
mbote papaa.. Ndenge nini....?fo sho!
:ranger::A S 114:Dah! Kitambo sana tangu aanze kuumwa hata kabla tbc haijazinduliwa wala dalili ya kuwepo. Ni ngoma imemuondoa hiyo kiarusi wanazuga tu kuna siku ila kitambo sana niliwahi kukutana nae pale dar group hospital. Sisi ni wa Mwenyezi mungu na kwake ndipo marejeo ya viumbe wote.
Ukweli unauma,R.I.P shangazi.Dah! Kitambo sana tangu aanze kuumwa hata kabla tbc haijazinduliwa wala dalili ya kuwepo. Ni ngoma imemuondoa hiyo kiarusi wanazuga tu kuna siku ila kitambo sana niliwahi kukutana nae pale dar group hospital. Sisi ni wa Mwenyezi mungu na kwake ndipo marejeo ya viumbe wote.